Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi mara nyingi tunapata habari kwenye vyombo vya habari.Yani mimi ipo siku Yanga itaniua jamani! Hasa pale tunapofikia hatua ya matuta huwa ni-dhohoful khali. [emoji24] [emoji85]
HujaelewaTangu nianze kushabikia YANGA miaka ya 90's sijawahi ona shabiki wa Yanga akiwa na furaha bila kunyanyua VPL....
Hizo nyingine ni story zako!
Ha ha ha ha haaaaaaa... GENTAMYCINEKikosi cha mwaka huu cha Simba wasiposhuka daraja sijui!
Kaona kapita kimyakimyaaaaa hahahaaaaa hawa wenzetu hawako serious kabisa.Ha ha ha ha haaaaaaa... GENTAMYCINE
Hivi ile Rufaa Yao ya Fifa umefikia wapi? Ha ha haaaa.. Mpira sio kwaya.Kaona kapita kimyakimyaaaaa hahahaaaaa hawa wenzetu hawako serious kabisa.
Tatizo ukata...
umemkata maini POPOMAEndelea kuanzisha zile Uzi ambazo zinasema YANGA SC hawana pesa za Usajili....
Maana tangu Ajibu aote mabawa, mmepunguza Sana zile Uzi za Yanga kukosa pesa!
Kwaio unatakaje sasa kunywa sumu
[emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14]Yani mimi ipo siku Yanga itaniua jamani! Hasa pale tunapofikia hatua ya matuta huwa ni-dhohoful khali. [emoji24] [emoji85]
Simba si mambumbumbu wale? Umewahi kusikia wapi points 3 zinafuatwa FIFA?Hivi ile Rufaa Yao ya Fifa umefikia wapi? Ha ha haaaa.. Mpira sio kwaya.
GENTAMYCINE Kuna swali LILILOTUKUKA huku Mkuu.Simba si mambumbumbu wale? Umewahi kusikia wapi points 3 zinafuatwa FIFA?
Okwi hivi sasa tunaye hapa Msimbazi, hajasaini bado, mazungumzo yanaendelea, nadhani mapema wiki ijayo anamwaga wino.simba wanampendea okwi tu akiifunga yanga basi tu..kwanza kazeeka