AnyWayZ
JF-Expert Member
- May 30, 2022
- 4,880
- 8,424
🕯Salaam Wakuu🕯
1. Nyuzi zinapishana sana
2. Historia imerudi nyuma
3. Mengi yameibuka.
4. Wengi wamezungumza
5. Lakini sioni wa kumwamini
Napata picha ENL alikua mtu mkubwa sana katika siasa ya nchi hii kushinda hata baadhi ya Maraisi wetu.
Mimi kwake nimejifunza kitu kimoja kikubwa - UKIMYA baada ya Maamuzi na Utekelezaji.
Huna haja ya kujitetea wala kushindana mbele ya watu unaowamudu hata kama Wakikuchafua na kujaribu Kukukandamiza.
Jibu la wema na ubaya wake kaondoka nalo mwenyewe, hii ndio nimependa sana.