love life live life
JF-Expert Member
- Sep 12, 2021
- 2,584
- 3,051
Litakufa jituKama hamtaki, msipokee misaada ya FIFA
Sasa fifa ndio mfadhili wao hakuna namnaHabari zenu wanasoka..
Rais wa FIFA J.Infatino amezitaka Nchi zote wanachama wake Kuhakikisha kiwanja kimojawapo kinapewa jina la nguli wa soka aliyekufa bwana Pele..
Binafsi sijapenda hii dhana ya kulazimishana maana huyo Pele alikuwa Ni mtu aliyeleta faida kwa Nchi yake ya Brazil na klabu zake Sasa die wengine kina Tanzania tunafaidikaje nae Hadi apewe kumbukimbu kwenye Nchi yetu?
This makes no sense,kule walikofaidika nae ndio wakiona umuhimu wa kumpa kumbukimbu wafanye hivyo Ila sio kulazimishana..
Nini maoni yako? 👇
MaCCM Huwa hawana utimamu wa Akili.Ni pendekezo tu kwa kumwenzi nguli huyo aliye tangulia mbele za haki ukisema umelazimishwa unakuwa unakosea pendekezo haliwezi kuwa lazima punguza chuki na hasira.
Uyakumbushe hayo maccm kuwa fifa hutoa dau kubwa sana kuboresha viwanja na uendeshaji wa shughuli za mpira sana tuMaCCM Huwa hawana utimamu wa Akili.
Wao waliporq Mali za wananchi, wanashindwa kujua FIFA hutoa ruzuku Kila mwaka kuboresha viwanja vya michezo.Uyakumbushe hayo maccm kuwa fifa hutoa dau kubwa sana kuboresha viwanja na uendeshaji wa shughuli za mpira sana tu
Ni mpuuzi kweli huyo Rais wa FIFA na huwa naona ana mihemko Sana .
Punguza wivu Pele ni alama ya mpira dunianiHabari zenu wanasoka..
Rais wa FIFA Infatino amezitaka Nchi zote wanachama wake Kuhakikisha kiwanja kimojawapo kinapewa jina la nguli wa soka aliyekufa bwana Pele..
Binafsi sijapenda hii dhana ya kulazimishana maana huyo Pele alikuwa Ni mtu aliyeleta faida kwa Nchi yake ya Brazil na klabu zake Sasa die wengine kina Tanzania tunafaidikaje nae Hadi apewe kumbukimbu kwenye Nchi yetu?
This makes no sense,kule walikofaidika nae ndio wakiona umuhimu wa kumpa kumbukimbu wafanye hivyo Ila sio kulazimishana..
Nini maoni yako? [emoji116]
View attachment 2468115
Wnacho karume pale ilalaHivi hao FIFA hawajui kuwa TFF hawana hata kiwanja kimoja cha kimataifa huku kwetu.
Wenye viwaja huku ni ccm na serikali.
Sasa mwanachama wao (TFF) ni chawa tu huku hawana kitu.
Shamba la bibi itapendeza jina likibadilika kuwa “Estadio De Pele”Watuondolee utoto si uwanja wenyewe tunao mmoja tu, tunamuheshim pele lakini tutakumbuka mashujaa wetu
So what?Uyakumbushe hayo maccm kuwa fifa hutoa dau kubwa sana kuboresha viwanja na uendeshaji wa shughuli za mpira sana tu
The Sunk Cost Fallacy 2Mleta mada unaibua taharuki kwa kushindwa kutafsiri habari kama ilivyo.
Unasema FIFA kulazimisha wakati Infantino kasema wataziomba nchi.
Kuna tofauti kati ya kulazimisha (force) na kuomba (ask).
Nimenukuu vipengele alivyosema Infantino vinavyomaanisha kuomba (ask), na siyo kulazimisha (force).
Ombo linaweza kukubaliwa au likakataliwa. Tusihamishie maisha na siasa za Tanzania duniani kote jamani, mana Tanzania Mwenyekiti wa CCM akiomba jambo, lazima lifanyike wakati katika ombi kuna hiyari ya kufanya au kutofanya.
Ngoja na mimi nijaribu kutafsiri na Kiingereza changu cha kuunga unga!
"FIFA will ask all the world's countries to name a stadium for Brazilian football legend Pele"
"Fifa itaziomba nchi kukipa kiwanja jina la mkongwe wa soka Pele"
"We’re going to ask every country in the world to name one of their football stadiums with the name of Pele,"
"Tunakwenda kuomba kila nchi duniani kukipa kiwanja kimoja jina la Pele"
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app