Hili la FIFA kulazimisha viwanja vya nchi wanachama wake kupewa jina la Pele limekaaje?

Habari zenu wanasoka..

Rais wa FIFA J.Infatino amezitaka Nchi zote wanachama wake Kuhakikisha kiwanja kimojawapo kinapewa jina la nguli wa soka aliyekufa bwana Pele..

Binafsi sijapenda hii dhana ya kulazimishana maana huyo Pele alikuwa Ni mtu aliyeleta faida kwa Nchi yake ya Brazil na klabu zake Sasa die wengine kina Tanzania tunafaidikaje nae Hadi apewe kumbukimbu kwenye Nchi yetu?

This makes no sense,kule walikofaidika nae ndio wakiona umuhimu wa kumpa kumbukimbu wafanye hivyo Ila sio kulazimishana..

Nini maoni yako? 👇

Sasa fifa ndio mfadhili wao hakuna namna
 
Uyakumbushe hayo maccm kuwa fifa hutoa dau kubwa sana kuboresha viwanja na uendeshaji wa shughuli za mpira sana tu
Wao waliporq Mali za wananchi, wanashindwa kujua FIFA hutoa ruzuku Kila mwaka kuboresha viwanja vya michezo.
 
Habari zenu wanasoka..

Rais wa FIFA Infatino amezitaka Nchi zote wanachama wake Kuhakikisha kiwanja kimojawapo kinapewa jina la nguli wa soka aliyekufa bwana Pele..

Binafsi sijapenda hii dhana ya kulazimishana maana huyo Pele alikuwa Ni mtu aliyeleta faida kwa Nchi yake ya Brazil na klabu zake Sasa die wengine kina Tanzania tunafaidikaje nae Hadi apewe kumbukimbu kwenye Nchi yetu?

This makes no sense,kule walikofaidika nae ndio wakiona umuhimu wa kumpa kumbukimbu wafanye hivyo Ila sio kulazimishana..

Nini maoni yako? [emoji116]

View attachment 2468115
Punguza wivu Pele ni alama ya mpira duniani

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Mleta mada unaibua taharuki kwa kushindwa kutafsiri habari kama ilivyo.

Unasema FIFA kulazimisha wakati Infantino kasema wataziomba nchi.

Kuna tofauti kati ya kulazimisha (force) na kuomba (ask).

Nimenukuu vipengele alivyosema Infantino vinavyomaanisha kuomba (ask), na siyo kulazimisha (force).

Ombo linaweza kukubaliwa au likakataliwa. Tusihamishie maisha na siasa za Tanzania duniani kote jamani, mana Tanzania Mwenyekiti wa CCM akiomba jambo, lazima lifanyike wakati katika ombi kuna hiyari ya kufanya au kutofanya.

Ngoja na mimi nijaribu kutafsiri na Kiingereza changu cha kuunga unga!

"FIFA will ask all the world's countries to name a stadium for Brazilian football legend Pele"

"Fifa itaziomba nchi kukipa kiwanja jina la mkongwe wa soka Pele"

"We’re going to ask every country in the world to name one of their football stadiums with the name of Pele,"

"Tunakwenda kuomba kila nchi duniani kukipa kiwanja kimoja jina la Pele"

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Wakuu,
Kwani Ccm imeingiaje hapa?
images-498.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo ulitaka Pele achezee kila nchi ndo umheshimu? We una kweli? Nyie watoto wa miaka hii hamumjui pele ni nani. Ziwa Victoria hilo jina ni la kibantu? ID yako umetumia lugha ya asili yako Africa? Mnapenda sana unafiq nyie vilaza. Kitafutwe kiwanja kiitwe Pele. Acha ujinga na wivu usio na maana.
 
Mleta mada unaibua taharuki kwa kushindwa kutafsiri habari kama ilivyo.

Unasema FIFA kulazimisha wakati Infantino kasema wataziomba nchi.

Kuna tofauti kati ya kulazimisha (force) na kuomba (ask).

Nimenukuu vipengele alivyosema Infantino vinavyomaanisha kuomba (ask), na siyo kulazimisha (force).

Ombo linaweza kukubaliwa au likakataliwa. Tusihamishie maisha na siasa za Tanzania duniani kote jamani, mana Tanzania Mwenyekiti wa CCM akiomba jambo, lazima lifanyike wakati katika ombi kuna hiyari ya kufanya au kutofanya.

Ngoja na mimi nijaribu kutafsiri na Kiingereza changu cha kuunga unga!

"FIFA will ask all the world's countries to name a stadium for Brazilian football legend Pele"

"Fifa itaziomba nchi kukipa kiwanja jina la mkongwe wa soka Pele"

"We’re going to ask every country in the world to name one of their football stadiums with the name of Pele,"

"Tunakwenda kuomba kila nchi duniani kukipa kiwanja kimoja jina la Pele"

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
The Sunk Cost Fallacy 2
 
Back
Top Bottom