Hili la FIFA kulazimisha viwanja vya nchi wanachama wake kupewa jina la Pele limekaaje?

The Sunk Cost Fallacy 2

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2022
Posts
9,436
Reaction score
10,944
Habari zenu wanasoka..

Rais wa FIFA Infatino amezitaka Nchi zote wanachama wake Kuhakikisha kiwanja kimojawapo kinapewa jina la nguli wa soka aliyekufa bwana Pele..

Binafsi sijapenda hii dhana ya kulazimishana maana huyo Pele alikuwa Ni mtu aliyeleta faida kwa Nchi yake ya Brazil na klabu zake Sasa die wengine kina Tanzania tunafaidikaje nae Hadi apewe kumbukimbu kwenye Nchi yetu?

This makes no sense,kule walikofaidika nae ndio wakiona umuhimu wa kumpa kumbukimbu wafanye hivyo Ila sio kulazimishana..

Nini maoni yako? 👇

========

fifa-infatino.jpg

Santos, FIFA will ask all the world's countries to name a stadium for Brazilian football legend Pele, the head of the sport's governing body, Gianni Infantino, said Monday at the late icon's wake.

Infantino was in the city of Santos, Brazil, to pay his final respects to the player widely considered the greatest of all time, who died Thursday at the age of 82.

"We’re going to ask every country in the world to name one of their football stadiums with the name of Pele," Infantino told journalists at the Vila Belmiro, the stadium where the player known as "The King" first exploded onto the world stage with his exploits for his longtime club, Santos FC.

Attending the 24-hour wake along with the heads of the South American and Brazilian football confederations, Infantino was among the first to pay homage before Pele's open casket, which was displayed in the middle of the field at Vila Belmiro stadium.

"We're here with great sadness," Infantino said. "Pele is eternal. He's a global icon of football."

FIFA had already flown the flags of the world at half-mast Friday outside its headquarters in Zurich in honor of Pele, whom the organization has named as the greatest player of the 20th century.

Pele, the only player in history to win three World Cups, died at a Sao Paulo hospital after a long battle with cancer.
Monday's wake will be followed by a funeral procession through the streets of Santos Tuesday, then a private interment ceremony.
 
Habari zenu wanasoka..

Rais wa FIFA J.Infatino amezitaka Nchi zote wanachama wake Kuhakikisha kiwanja kimojawapo kinapewa jina la nguli wa soka aliyekufa bwana Pele..

Binafsi sijapenda hii dhana ya kulazimishana maana huyo Pele alikuwa Ni mtu aliyeleta faida kwa Nchi yake ya Brazil na klabu zake Sasa die wengine kina Tanzania tunafaidikaje nae Hadi apewe kumbukimbu kwenye Nchi yetu?

This makes no sense,kule walikofaidika nae ndio wakiona umuhimu wa kumpa kumbukimbu wafanye hivyo Ila sio kulazimishana..

Nini maoni yako? 👇

Tanzania viwanja vya wananchi viliporwa na CCM
 
Hivi hao FIFA hawajui kuwa TFF hawana hata kiwanja kimoja cha kimataifa huku kwetu.

Wenye viwaja huku ni ccm na serikali.

Sasa mwanachama wao (TFF) ni chawa tu huku hawana kitu.
 
Habari zenu wanasoka..

Rais wa FIFA J.Infatino amezitaka Nchi zote wanachama wake Kuhakikisha kiwanja kimojawapo kinapewa jina la nguli wa soka aliyekufa bwana Pele..

Binafsi sijapenda hii dhana ya kulazimishana maana huyo Pele alikuwa Ni mtu aliyeleta faida kwa Nchi yake ya Brazil na klabu zake Sasa die wengine kina Tanzania tunafaidikaje nae Hadi apewe kumbukimbu kwenye Nchi yetu?

This makes no sense,kule walikofaidika nae ndio wakiona umuhimu wa kumpa kumbukimbu wafanye hivyo Ila sio kulazimishana..

Nini maoni yako? 👇

FIFA wana ukwasi mwingi, watoe fedha za kujenga viwanja kwenye nchi hizo kisha viwanja vilivyojengwa ndiyo viitwe kwa jina la Pele
 
Upuuzi huo,sie Ni Taifa huru hatuamuliwi na Wazungu
Soma signature yangu, ni maneno ya Nyerere yaliandikwa Uwanja wa Sokoine/ Mapinduzi. Nyerere aligoma uwanja huo kujengwa na wachina, ilitakiwa China waujenge kwa viwango vya Olympics kwa masharti tu wauite jina la Mao Tze Tung. Nyerere akagoma.

Nyie mazuzumagic mnashingilia watu wanavyozunguka dunia nzima kuomba misaada na mikopo, matokeo yake mnaletewa amri za ajabu ajabu, mnaambiwa watoto wenu wawe mashoga mnasema ndio mzee, mnaambiwa viwanja vipewe majina ya Chaupele Mpenzi, mnaitikia hewala.
 
Ndio ujasiri unatakiwa huo,Mambo ya kitumwa hatutaki
 
Watuondolee utoto si uwanja wenyewe tunao mmoja tu, tunamuheshim pele lakini tutakumbuka mashujaa wetu
 
Naunga mkono hoja , ikumbukwe sa hv tuna Messi who is >Pele
 
Back
Top Bottom