Hili la Halima limenihuzunisha sana. Ina maana Dar na Mikoani kote tumekwa kiasi hiki?

Heb weka namba zake hapa tuone namna ya kumsaidia
 
Kulea mtoto si kazi ya mwanaume. Kuna bingwa mmoja kaelezea. Niambie wanyama gani madume wanalea? Kwa asilimia kubwa? Yaani unampa mimba na tena support ya pesa?
Kwa hiyo hizi sheria za child support ni kandamizi kwa wanaume. Sisi tuwe tunatia mimba tu wakomae wao kutunza watoto
 
Umehakiki? Na je angelalamikaje kuwa ni single na hana mtoto? Mmekuwa waoga sana nyie vijana. Sisi miaka yetu ile angekuwa ana watoto hata wa5 kwa sasa. Toka atamke hivyo alipaswa apewe mimba hata 3
Mkuu hizo mimba 3 zinakaa upande gani,πŸ˜‚
 
πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ˜πŸ˜πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ™†πŸ™†πŸ™†πŸ™†πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£ sipat picha muhusika akiiona hii comment atajisikiaje jaman,atalia,atacheka au atasikitika.
 
Unique Flower
 
Nimeona post kadhaa za vijana waoga., Hawa hata kikaoni watatujaza uoga, aamin nawaambia tarehe kama ya leo mwakani shemeji yenu atafurahi
 
Spiritually yeye na mwenzake yule, wanachangamoto ndio maana anasema ukweli kuhusu kutokuzaa.
 
Nimeona post kadhaa za vijana waoga., Hawa hata kikaoni watatujaza uoga, aamin nawaambia tarehe kama ya leo mwakani shemeji yenu atafurahi
Hao wavulana ndo haraka huwa upinde
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…