Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Jecha? Hata aibu kidogo hana?!
Amefanya tu makusudi kwenda kuchukua fomu ili kuivua nguo na kuiumbua ccm! Kuna uwezekano alisalitiwa na miccm myenzake baada ya kumuingiza madarakani Dr. Shein kwa bao la mkono wakati ule.
Usikute alisahauliwa au hakupewa 'mzigo' wa kutosha hivyo akaamua aje atengeneze headline.