Jecha? Hata aibu kidogo hana?!
Tulia akili kwanza,mimi nakuja July 15 kuanza kazi ya kuwasaka MafiasKama na wewe ni wale wale, basi usisahau kuwaambia wakubwa zako kila lenye mwanzo halikosi kuwa na mwisho.
Endeleeni tu kutuletea dharau. Muda utakapofika, mtaikimbia hii nchi.
Amani ya Bwana iwe nanyi.
Sote tunafahamu utata mkubwa uloiojitokeza mwaka 2015, na nafasi ya Jecha katika utata huo.
CCM kama chama tawala ambacho kinajinasibu kukubalika na wananchi na ambacho kinda kushinda kwa kura halali, hakikutakiwa kujihusisha na mtu kama Jecha.
Ukila na kipofu usimshike mkono.
Kumbe huyu kenge alikuwa fisiemu muda wote. Nyambafu kabisa chama la majambazi.Amani ya Bwana iwe nanyi.
Sote tunafahamu utata mkubwa uloiojitokeza mwaka 2015, na nafasi ya Jecha katika utata huo.
CCM kama chama tawala ambacho kinajinasibu kukubalika na wananchi na ambacho kinda kushinda kwa kura halali, hakikutakiwa kujihusisha na mtu kama Jecha.
Ukila na kipofu usimshike mkono.
Huyo jambazi alitumwa namagufuli kufuta matokeo baada ya seif kuwapa kipigo cha Mbwa mwitu.
UVCCM wanajifanya kuwa surprised na JECHA kutoka kwenye makabati ya maCCM kisiwandui kuchukua form za Urais, yani kama vile walikuwa hawajui ni kada… watu wanapolalamikia IMPARTIALITY ya Tume ya Uchaguzi, UVCCM ndio wanaoongoza kutetea… Hata sasa watasema, ni haki yake kikatiba
Kwanini sikuzaliwa ile nchi nayopakana mayo, Ee Mungu wewe ndio wajua.Hakuna nchi yenye watu ma ntindio wa akili kuizidi tanzania duniani.
Hata Zimbabwe ni waelewa mbele ya watanzania.
Nani aliiloga hii nchi?
Kabaka kama jecha aliyekuwa kwenye tume ya uchaguzi na kufanya yale aliyofanya sasa anadhihirisha kwamba yeye ni mwanachama hai wa ccm na watu wananyamaza?
Nailaani ile siku niliyozaliwa Tz na kuitwa mtanzania!!
Lini mkawa na akili ? Mgekua na akili msingekubali aya kuendelea
Jecha? Hata aibu kidogo hana?!
Ni kweli kabisaKuna mambo yanashangaza sana katika siasa zetu, hili linatuacha bila nguo za ndani.
Anataka urais na hiyo miss ya plug je?Amani ya Bwana iwe nanyi.
Sote tunafahamu utata mkubwa uloiojitokeza mwaka 2015, na nafasi ya Jecha katika utata huo.
CCM kama chama tawala ambacho kinajinasibu kukubalika na wananchi na ambacho kinda kushinda kwa kura halali, hakikutakiwa kujihusisha na mtu kama Jecha.
Ukila na kipofu usimshike mkono.
View attachment 1485492
Najaribu kunukuu baadhi ya maneno yake "...NIKAWA MWENYEKITI WA TUME YA UCHAGIZI ZANZIBAR KUANZIA MWAKA MATAP TAP TAB TAB HUIHUI..."Amani ya Bwana iwe nanyi.