Hili la Jerry Silaa kuzuia maafisa ardhi kuwashauri watu waende Mahakamani, anataka watu wauane mitaani badala ya kufuata sheria?

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Screenshot_20240321-165819.jpg

Huyu ni Waziri, kazuia watu kushauriwa waende Mahakamani, na ndiye anapaswa kusimamia utawala wa sheria, anataka watu wachapane makonde mitaani? Amewapa maafisa ardhi gepu la kufanya bomoa bomoa nchi nzima kama yeye anavyofanya?

Ajabu kabisa huyu ni mwanasheria!

Kuna mtu ambaye hajui hawa ndio chanzo cha kelele nchi nzima kwa dhuluma katika ardhi halafu anataka awakabidhi wananchi kwao?
 
View attachment 2940910Huyu ni Waziri, kazuia watu kushauriwa waende Mahakamani, na ndiye anapaswa kusimamia utawala wa sheria, anataka watu wachapane makonde mitaani? Amewapa maafisa ardhi gepu la kufanya bomoa bomoa nchi nzima kama yeye anavyofanya?

Hata wao hawaamini mahakama....
Wanahubiri kitu ambacho hata wao hawakiamini
 
Yuko sahihi mambo ya ardhi yako chini ya maafisa ardhi na hati hutoa wao kwa nini kukitokea mgogoro wasukumie watu waende mahakamani si wamalize wenyewe
Huko ni kukwepa wajibu .Slaa yuko sahihi.Tena kama hawawezi kutatua wafukuzwe kazi kabisa
 
View attachment 2940910Huyu ni Waziri, kazuia watu kushauriwa waende Mahakamani, na ndiye anapaswa kusimamia utawala wa sheria, anataka watu wachapane makonde mitaani? Amewapa maafisa ardhi gepu la kufanya bomoa bomoa nchi nzima kama yeye anavyofanya?

Ajabu kabisa huyu ni mwanasheria!

Kuna mtu ambaye hajui hawa ndio chanzo cha kelele nchi nzima kwa dhuluma katika ardhi halafu anataka awakabidhi wananchi kwao?
Wewe chiembe leo uko busy na Jerry Slaa!
Au hii ndio issue inayokulisha hapa mjini?

Huku mnajifanya watetezi wa haki huku mkitetea au mkiibia wananchi kwa namna moja au nyingine!

Hata Mwenyekiti wenu Mbowe amewadhurumu waandishi wa lililokuwa gazeti lake na lililotumika kuipaisha Chadema nchi nzima kwa miongo kadhaa.

Amewadhurumu kihuni huni yeye na mwanae Dudley!
 
Unayemjibu ni CCM mwenzako ila si MATAGA. That’s where the difference is. Ukimueleza madhambi ya Mbowe kwake ni burdani tu.
 
Wewe chiembe leo uko busy na Jerry Slaa!
Au hii ndio issue inayokulisha hapa mjini?

Huku mnajifanya watetezi wa haki huku mkitetea au mkiibia wananchi kwa namna moja au nyingine!

Hata Mwenyekiti wenu Mbowe amewadhurumu waandishi wa lililokuwa gazeti lake na lililotumika kuipaisha Chadema nchi nzima kwa miongo kadhaa.

Amewadhurumu kihuni huni yeye na mwanae Dudley!
UWT hata kiswahili tu ni shida
 
Yuko sahihi mambo ya ardhi yako chini ya maafisa ardhi na hati hutoa wao kwa nini kukitokea mgogoro wasukumie watu waende mahakamani si wamalize wenyewe
Huko ni kukwepa wajibu .Slaa yuko sahihi.Tena kama hawawezi kutatua wafukuzwe kazi kabisa
katika tawala za dunia zote, huwa kuna mifumo yenye mamlaka ya kutoa haki, nayo ni ile yenye nguvu ya kimahakama. afisa ardhi sio taasisi ni mtu binafsi, hawezi kutoa maamuzi yanayoathiri watu akiwa private person, inatakiwa judicial institution kama vile balaza la ardhi au mahakama watoe maamuzi, na huko wameweka na taratibu kama hujaridhika ufanyeje, ukate rufaa uende wapi. kwa afisa ardhi usiporidhika utakata rufaa kwenda wapi? akila rushwa akakuonea utakata rufaa kwenda wapi? kule kwengine sheria imeweka taratibu utaenda ngazi ya juu.
 
Kuna wapora ardhi za maskini wasioweza afford kwenda mahakamani wala kulipa mawakili

Maofisa ardhi ndio wanatakiwa kumaluza hizo kesi

Kazi yao sio tu kugawa hati kama wanagawa kondomu na kwenda kulala ni pamoja na kusimamia migogoro ya ardhi ikitokea
 
shida ni kwamba sheria haijawapa hayo mamlaka, labda mkabadilishe sheria. ila kwa sasa hayo mamlaka hawana.
 
View attachment 2940910Huyu ni Waziri, kazuia watu kushauriwa waende Mahakamani, na ndiye anapaswa kusimamia utawala wa sheria, anataka watu wachapane makonde mitaani? Amewapa maafisa ardhi gepu la kufanya bomoa bomoa nchi nzima kama yeye anavyofanya?

Ajabu kabisa huyu ni mwanasheria!

Kuna mtu ambaye hajui hawa ndio chanzo cha kelele nchi nzima kwa dhuluma katika ardhi halafu anataka awakabidhi wananchi kwao?
Unakaa mahakamani 15years+ huoni mahakama nayo ni mzigo
 
Back
Top Bottom