Hili la Jerry Silaa kuzuia maafisa ardhi kuwashauri watu waende Mahakamani, anataka watu wauane mitaani badala ya kufuata sheria?

Hili la Jerry Silaa kuzuia maafisa ardhi kuwashauri watu waende Mahakamani, anataka watu wauane mitaani badala ya kufuata sheria?

umesema sahihi.though waziri naye ni mwanadamu, anaweza kuwa na interest au mapungufu, ndio maana tunasema private persons hawatakiwi kutoa maamuzi, ila mihimili ya kutoa haki hiyo ndio tumekubaliana kikatiba kuwa iwe inatuamua tunapogombana. na ndio sababu tunasema utawala wa sheria ni muhimu hata kama una uhakika kwenye database.
Matapeli woote Duniani hupenda kuzitumia mahakama na ndio siri ya utajiri mkubwa wa mawakili na wanasheria wengi kwa njia za short cuts.
Huu ni mojawapo ya mifano halisi.
Hata body language ya yule wakili wa Mahululu kule YouTube inaonyesha rasmi.
 
Yuko sahihi mambo ya ardhi yako chini ya maafisa ardhi na hati hutoa wao kwa nini kukitokea mgogoro wasukumie watu waende mahakamani si wamalize wenyewe
Huko ni kukwepa wajibu .Slaa yuko sahihi.Tena kama hawawezi kutatua wafukuzwe kazi kabisa
Vipi kama haki haijatendeka maana tunajua maofisa wengi ni rushwa na njaa tupu, hakuna haja ya kuwapa hao maofisa absolute power, mahakama lazima ihusike ili kuwacheck hao maofisa wa ardhi na mamlaka yao
 
Matapeli woote Duniani hupenda kuzitumia mahakama na ndio siri ya utajiri mkubwa wa mawakili na wanasheria wengi kwa njia za short cuts.
Huu ni mojawapo ya mifano halisi.
Hata body language ya yule wakili wa Mahululu kule YouTube inaonyesha rasmi.
Sasa unafikiria haki utaipata kutoka Kwa hao maofisa wa ardhi 100%ambao wengi wao ndio chanzo Cha matatizo yote,mahakama not perfect lakini zinasaidia check and balance, Labda uje na mfumo mwingine lakini Kwa sasa mahakama tunazihitaji sana
 
View attachment 2940910
Huyu ni Waziri, kazuia watu kushauriwa waende Mahakamani, na ndiye anapaswa kusimamia utawala wa sheria, anataka watu wachapane makonde mitaani? Amewapa maafisa ardhi gepu la kufanya bomoa bomoa nchi nzima kama yeye anavyofanya?

Ajabu kabisa huyu ni mwanasheria!

Kuna mtu ambaye hajui hawa ndio chanzo cha kelele nchi nzima kwa dhuluma katika ardhi halafu anataka awakabidhi wananchi kwao?
LEte mazungumzo yote sio nusu
 
Vipi kama haki haijatendeka maana tunajua maofisa wengi ni rushwa na njaa tupu, hakuna haja ya kuwapa hao maofisa absolute power, mahakama lazima ihusike ili kuwacheck hao maofisa wa ardhi na mamlaka yao
Kama afisa Aridhi hajakutendea haki si unakwenda ku report kwa boss wake, ili apewe maelekezo na boss wake!!
 
Back
Top Bottom