voicer
JF-Expert Member
- Jul 13, 2020
- 5,545
- 11,935
Matapeli woote Duniani hupenda kuzitumia mahakama na ndio siri ya utajiri mkubwa wa mawakili na wanasheria wengi kwa njia za short cuts.umesema sahihi.though waziri naye ni mwanadamu, anaweza kuwa na interest au mapungufu, ndio maana tunasema private persons hawatakiwi kutoa maamuzi, ila mihimili ya kutoa haki hiyo ndio tumekubaliana kikatiba kuwa iwe inatuamua tunapogombana. na ndio sababu tunasema utawala wa sheria ni muhimu hata kama una uhakika kwenye database.
Huu ni mojawapo ya mifano halisi.
Hata body language ya yule wakili wa Mahululu kule YouTube inaonyesha rasmi.