Hata wao hawaamini mahakama....View attachment 2940910Huyu ni Waziri, kazuia watu kushauriwa waende Mahakamani, na ndiye anapaswa kusimamia utawala wa sheria, anataka watu wachapane makonde mitaani? Amewapa maafisa ardhi gepu la kufanya bomoa bomoa nchi nzima kama yeye anavyofanya?
Ajabu kabisa huyu ni mwanasheria!
Kuna mtu ambaye hajui hawa ndio chanzo cha kelele nchi nzima kwa dhuluma katika ardhi halafu anataka awakabidhi wananchi kwao?
Wewe chiembe leo uko busy na Jerry Slaa!View attachment 2940910Huyu ni Waziri, kazuia watu kushauriwa waende Mahakamani, na ndiye anapaswa kusimamia utawala wa sheria, anataka watu wachapane makonde mitaani? Amewapa maafisa ardhi gepu la kufanya bomoa bomoa nchi nzima kama yeye anavyofanya?
Ajabu kabisa huyu ni mwanasheria!
Kuna mtu ambaye hajui hawa ndio chanzo cha kelele nchi nzima kwa dhuluma katika ardhi halafu anataka awakabidhi wananchi kwao?
Mkuu unataka utawala wa sheria? Wewe ni CCM Kweli? Interesting.#RuleOfLaw
Unayemjibu ni CCM mwenzako ila si MATAGA. That’s where the difference is. Ukimueleza madhambi ya Mbowe kwake ni burdani tu.Wewe chiembe leo uko busy na Jerry Slaa!
Au hii ndio issue inayokulisha hapa mjini?
Huku mnajifanya watetezi wa haki huku mkitetea au mkiibia wananchi kwa namna moja au nyingine!
Hata Mwenyekiti wenu Mbowe amewadhurumu waandishi wa lililokuwa gazeti lake na lililotumika kuipaisha Chadema nchi nzima kwa miongo kadhaa.
Amewadhurumu kihuni huni yeye na mwanae Dudley!
Aisee? US wewe unatengeneza mabilioni kama stand-up comedian 😅Kila mboga na bakuli lake
Mahakama zetu ni aibu tupusema kwa yanayo endelea mahakamani ni upumbavu mtupu walio na haki wanadhurumiwa wazi wazi
UWT hata kiswahili tu ni shidaWewe chiembe leo uko busy na Jerry Slaa!
Au hii ndio issue inayokulisha hapa mjini?
Huku mnajifanya watetezi wa haki huku mkitetea au mkiibia wananchi kwa namna moja au nyingine!
Hata Mwenyekiti wenu Mbowe amewadhurumu waandishi wa lililokuwa gazeti lake na lililotumika kuipaisha Chadema nchi nzima kwa miongo kadhaa.
Amewadhurumu kihuni huni yeye na mwanae Dudley!
katika tawala za dunia zote, huwa kuna mifumo yenye mamlaka ya kutoa haki, nayo ni ile yenye nguvu ya kimahakama. afisa ardhi sio taasisi ni mtu binafsi, hawezi kutoa maamuzi yanayoathiri watu akiwa private person, inatakiwa judicial institution kama vile balaza la ardhi au mahakama watoe maamuzi, na huko wameweka na taratibu kama hujaridhika ufanyeje, ukate rufaa uende wapi. kwa afisa ardhi usiporidhika utakata rufaa kwenda wapi? akila rushwa akakuonea utakata rufaa kwenda wapi? kule kwengine sheria imeweka taratibu utaenda ngazi ya juu.Yuko sahihi mambo ya ardhi yako chini ya maafisa ardhi na hati hutoa wao kwa nini kukitokea mgogoro wasukumie watu waende mahakamani si wamalize wenyewe
Huko ni kukwepa wajibu .Slaa yuko sahihi.Tena kama hawawezi kutatua wafukuzwe kazi kabisa
Kuna wapora ardhi za maskini wasioweza afford kwenda mahakamani wala kulipa mawakilikatika tawala za dunia zote, huwa kuna mifumo yenye mamlaka ya kutoa haki, nayo ni ile yenye nguvu ya kimahakama. afisa ardhi sio taasisi ni mtu binafsi, hawezi kutoa maamuzi yanayoathiri watu akiwa private person, inatakiwa judicial institution kama vile balaza la ardhi au mahakama watoe maamuzi, na huko wameweka na taratibu kama hujaridhika ufanyeje, ukate rufaa uende wapi. kwa afisa ardhi usiporidhika utakata rufaa kwenda wapi? akila rushwa akakuonea utakata rufaa kwenda wapi? kule kwengine sheria imeweka taratibu utaenda ngazi ya juu.
shida ni kwamba sheria haijawapa hayo mamlaka, labda mkabadilishe sheria. ila kwa sasa hayo mamlaka hawana.Kuna wapora ardhi za maskini wasioweza afford kwenda mahakamani wala kulipa mawakili
Maofisa ardhi ndio wanatakiwa kumaluza hizo kesi
Kazi yao sio tu kugawa hati kama wanagawa kondomu na kwenda kulala ni pamoja na kusimamia migogoro ya ardhi ikitokea
Sio kwelishida ni kwamba sheria haijawapa hayo mamlaka, labda mkabadilishe sheria. ila kwa sasa hayo mamlaka hawana.
tuambie kilicho kweli? weka vifungu hapo. kwamba land officer kama individual person anaweza kuwa na power kufanya decision kwenye hatima za watu. yeye amekuwa mahakama?Sio kweli
Unakaa mahakamani 15years+ huoni mahakama nayo ni mzigoView attachment 2940910Huyu ni Waziri, kazuia watu kushauriwa waende Mahakamani, na ndiye anapaswa kusimamia utawala wa sheria, anataka watu wachapane makonde mitaani? Amewapa maafisa ardhi gepu la kufanya bomoa bomoa nchi nzima kama yeye anavyofanya?
Ajabu kabisa huyu ni mwanasheria!
Kuna mtu ambaye hajui hawa ndio chanzo cha kelele nchi nzima kwa dhuluma katika ardhi halafu anataka awakabidhi wananchi kwao?