Little brain
JF-Expert Member
- Oct 31, 2020
- 4,282
- 6,303
kacheze wewe tuone au wewe sio mbongo?Naona kapata watetezi !!. Unadhani ni kwanini wabongo wanashindwa kucheza Europe ?!. Nidhamu zero .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kacheze wewe tuone au wewe sio mbongo?Naona kapata watetezi !!. Unadhani ni kwanini wabongo wanashindwa kucheza Europe ?!. Nidhamu zero .
Nadhani huenda ika moja wapo ya sababu hawafiki mbali kimafanikio kama wenzao wa Magharibi. Wengi wao wanaishia Uarabuni na kurudi nyumbani.kwani ni wachezaji wengine hawanywi pombe mkuu? Au hujawahi kutana nao! Nachojua asilimia kubwa Wachezaji wanavuta sigara na kunywa pombe
Nimescroll ili nione picha ila nimeambulia patupuJana nilipata nafasi ya kuzama Kambini kwa timu ya Taifa.
Nikiwa Bongo mara nyingi napenda kujibanza na watu wa soka ili kujua mambo mbalimbali ambayo kwa namna moja au nyingine siyatambui.
Kwa bahati nzuri/mbaya mwamba mmoja hivi kutoka pande za Msimbazi akaingi akiwa amependeza kinoma. Nadhani aliutumia vyema ule wakati wa alasiri wa siku ya jana kufanya yake.
Labda huenda alidhani ameonja kidogo na hakuna mtu angeshindwa kumtambua, kwa bahati mbaya mwana alionekana dhahiri hata na wachezaji wenzake kuwa Jey yuko pombe. Mwalimu hakuweza kulitambua hilo mapema ila baadhi ya maafisa wa benchi la ufundi la Stars waliligundua hilo. Nikaona Nadir Cannavaro akimuita kando na kuzungumza na mkude kwa dakika kadhaa kabla drill ya kupasha misuli haijaanza.
Baadaye nikapewa taarifa kuwa Nadir alikuwa anamsaidia Jey ili hadha ili isije kujulikana kwa Kocha, Nadir akamshauri kuwa ajifanye kama anaomba ruhusa ya kwenda nyumbani ya kuwa kumetokea na dharura.
Jey akasaidiwa na baadhi ya maafisa wengine hadi akapata ruhusu ya kuondoka.
Ni kocha pakee ambaye mpaka sasa hajafahamu kuwa Mkude alikuja kambini amelewa. Baadhi ya viongozi wengine wa benchi hilo hilo hawakupendezewa kabisa kwa Jey kuja amelewa, waliona kama ni kitendo cha dharau na ukosefu wa heshima kwa kazi.
Leo Nikiwa naongea kwa simu na mmoja wa afisa niliyekutana naye jana kambini jana, akanitaarifu kuwa Kocha ameambiwa mchezo wote ulio tokea. Huenda ametonywa na lile kundi dogo ambalo walichukizwa na lile tukio.
Akaongeza zaidi kwa kuniambia kuwa Kocha ameanza kujenga "kutokuwa" na uaminifu na baadhi ya watu katika benchi la Ufundi. Akasema nisisangae kama baada ya game ya Benin kukawa na mabadiliko katika benchi hilo.
Nashauri:- Ni wakati sasa Jonas Mkude asitishe kuichezea Taifa Stars na awape nafasi Vijawa wengine chipukizi.
Kuna wachezaji ambao ni walevi na wamekubali kuwa walevi na pia wana Ustaarabu wao katika kufanya ulevi.kwani ni wachezaji wengine hawanywi pombe mkuu? Au hujawahi kutana nao! Nachojua asilimia kubwa Wachezaji wanavuta sigara na kunywa pombe
Kunywa aikatazwi ila sio wakati wa kaziWewe haunywi nyagi?
We umejuaje hizi habari ni za kweli? usije ukawa unachafua jina la mtu.Nimeshangazwa kuona baadhi ya watu wana tetea ulevi kwa mtu kama Mkude ambaye si tu Klabu yake bali hata Timu ya Taifa inamtegemea.
Kweli kabisa hata mimi namshtukia aweza kuwa ni mbea tu! Mashabiki wa Yanga wanaumizwa sana kuona list defu ya Simba imeingia Stars!We umejuaje hizi habari ni za kweli? usije ukawa unachafua jina la mtu.
Feisal ana mengi ya kujifunza kwa Jonas ila ni machache ya kuyaacha.Wakati mkude akiwa katika kiwango cha maridadi kijana mmoja anaitwa feisal alikuwa ndio Kwanza anauzoea mpira anaruka ruka tu uwanjani Wana wakmwambia
"Dogo kaza kama mkude usiwe rojo rojo"
Dogo alikaza kweli Hadi kuwa mhimili wa timu yake
Baada ya dogo kuanza sasa kuonekana yuko katika kiwango maridadi
Mkude graph ikaporomoka vibaya
Akaanza kiburi,ulevi ,utovu wa nidhamu nk.
Kjjana fei mchukulie mkude Kama anti-model wako sio role model he is finished "amekwisha"
So sad!!! Aisee
Hakuna cha Common sense hapo ni umbea tu! Kwani bench la ufundi halina watu wake na taratibu zake za kushughulikia mambo haya mpaka wewe mtu uliyeokoteza kijiweni uje kulianika hapa?? Kiherehere ni kitu kibaya sana aisee!Usimba & Uyanga usikufanye ushindwe kutumia common sense.
Inaonekana kwenye jukwaa hili wewe ni mgeni. Kila mtu anafahamu kuwa mimi ni Mwanachi. Je nikiwa shabikin sipaswi kutoa maoni Yangu?Hata hivyo mtoa mada wewe ni mnazi sana! Kwanza umemtaja Canavaro tu kuwa ndiye aliyejaribu kumsaidia Mkude kishkaji,
Nani kazungumzia madhara?!by inamadhara makubwa sana kama hufahamu rudi shulekwani konyagi ina madhara gani kwa proffesional player?