Hili la Jonas Mkude kuingia kambini akiwa kapendeza sio poa kabisa

Hapo "Nashauri" ndipo lilipo lengo la uzi wako.Hayo mengine ghasia tu.
 

Utopolo si wanaume na Wanawake wengi wao wanafanana tabia za umbeya!
 
Siku moja Asubuhi ataamka Jonas Mkude pale kambini kwao Bunju na atachoma moto kambi nzima ndio watajua mwamba ana matatizo makubwa ya kisaikolojia
😂
 
Kamwe huwezi kumfanya KUNGURU kuwa NJIWA.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…