Ngwakwiii
JF-Expert Member
- Dec 6, 2019
- 434
- 541
M 23 nani aliwanyamazisha acha kutuzaraulia jeshi letu tukufuUnaongea kwa ujasiri bandia kwa sababu Al Shabab hawajawahi kuvamia Tanzania. Sio kwa sababu wanawaogopa bali kwa sababu mliogopa kutuma jeshi lenu Somalia. Waoga nyie, kazi yenu kuingiza mkia kati kati ya miguu. Hata DRC najua mtakataa kutuma jeshi lenu la EAC huko.
Kama vp jiinueni tukate mzizi wa fitina
Nalikubali jeshi langu na ninaliombea kwa Mungu siku zote za maisha yangu