T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 12,362
- 41,886
Yani hapo unajiona umeandika. Unajua maana ya attitude na range? Ungejua tofauti yake usingejichoresha hapa. Ikiwa na max. altitude hiyo kwahiyo ndege ziifuate pale ilipo ndipo izishambulie?Propaganda max flight altitude. 14,000 metres (46,000 ft)
Altitude ni umbali kutoka chini kwenda juu, range ni umbali kutoka ilipo kwenda eneo jingine. Range ya Buk missile max. yake ni 50km. Na hata hiyo altitude yake ni ndogo kwa silaha za sasa, hizo ni 14km angani wakati ndege nyingi tu zinaenda more than 18km altitude. Tukianza na Ugandan Su-30