Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,017
- 16,431
Kwani huna habari kwamba Al Shabab wamewahi kuivamia Uganda kwa sababu walipeleka jeshi lao Somalia?Mbona hao Alshababs wasishambulie Uganda au hata Ethiopia waliopo karibu nao kwasababu walipeleka majeshi Somalia?.
Tatizo hapa ni kwamba, Inawezekanaje adui wa nje ya nchi anaweza kuingia na kutoka katika nchi yenu Kama apendavyo, kazi ya jeshi ni ipi Kama sio kudhibiti mipaka ya nchi, au katika hili unakiri kwamba Alshababs wamelizidi ujanja jeshi lenu?
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app