T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 12,362
- 41,886
Mjadala wa kishabiki huu. Sasa silaha gani zimeonyeshwa hapo kwenye hiyo video, sijui nitumie neno ancientDuh!...
T14 Armata
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mjadala wa kishabiki huu. Sasa silaha gani zimeonyeshwa hapo kwenye hiyo video, sijui nitumie neno ancientDuh!...
T14 Armata
Hahahaha, lini KDF watapata silaha za kisasa Kama hizi?You are just lucky that Tanzania currently have no internal or external security threats . Otherwise from the video you soldiers are poorly equipped .I wonder how much ground the platoon would cover .
Wewe unataka kuona silaha au mazoezi?, Maonyesho ya silaha zote kwa wakati mmoja ufanyika kwenye sherehe za kitaifa sio poriniMjadala wa kishabiki huu. Sasa silaha gani zimeonyeshwa hapo kwenye hiyo video, sijui nitumie neno ancient
Wewe unataka kuona silaha au mazoezi?, Maonyesho ya silaha zote kwa wakati mmoja ufanyika kwenye sherehe za kitaifa sio porini
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Hahahaha, wanaume hao, check J-7 in action, wakenya hamuwezi gusa huo motoKubali tu kwamba silaha ambazo wanajeshi wenu wanatumia yameoza. Sio lazima upinge kila kitu.
Mjadala wa kishabiki huu. Sasa silaha gani zimeonyeshwa hapo kwenye hiyo video, sijui nitumie neno ancient
Endelea kuangalia shoo[emoji23][emoji23][emoji23]Kubali tu kwamba silaha ambazo wanajeshi wenu wanatumia yameoza. Sio lazima upinge kila kitu.
MY TAKE; Huko kwa jirani, Alshabab wanaweka vizuizi barabarani, wanakagua abiria, wanatoa hotuba na kulipisha Kodi, KDF hawajulikani walipo.
Tony254
Don YF
Nicxie
@
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Hahahaha, lini KDF watapata silaha za kisasa Kama hizi?
We are not lucky but strong and smart, Mozambique and DRC are our neighbours who are struggling with terrorism and civil war, why not Tanzania?, they tried to attack us, what happened to them?. KDF is very weak army.
Onyesha nchi yoyote hapa Afrika mashariki yenye kumiliki vifaa vya kisasa Kama hivi
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Hahahaha, wanaume hao, check J-7 in action, wakenya hamuwezi gusa huo moto
Hivi ulishawahi kuona vifaru vinavyotembea juu ya maji na ardhini?, Msiguse huu moto sio level yenu
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
From the videos posted your Frontline defenders have no body armour ,no protected mobility,no force multipliers,no tactical communication radios they are just like any other militia save for a few MLRS and artillery.... they will suffer heavy casualties if not getting completely destroyed in this era of maneuver warfare.
View attachment 2283295
Tanzania special forces alongside regular Kenyan forces in the DRC
We kweli huna hata moja ulijualo.Unafikiri Al Shaabab na magaidi hawajawahi kujaribu kuingia Tanzania?Unaongea kwa ujasiri bandia kwa sababu Al Shabab hawajawahi kuvamia Tanzania. Sio kwa sababu wanawaogopa bali kwa sababu mliogopa kutuma jeshi lenu Somalia. Waoga nyie, kazi yenu kuingiza mkia kati kati ya miguu. Hata DRC najua mtakataa kutuma jeshi lenu la EAC huko.
Tanzania imetuma hadi Lebanon huko , siku tunajenga nchi yetu . Hao waasi sijui M23 na alshabab wanaijua Tanzania ni nani kwenye medani . Sio nyie wanajeshi walikua wanaiba pipi WestgateUnaongea kwa ujasiri bandia kwa sababu Al Shabab hawajawahi kuvamia Tanzania. Sio kwa sababu wanawaogopa bali kwa sababu mliogopa kutuma jeshi lenu Somalia. Waoga nyie, kazi yenu kuingiza mkia kati kati ya miguu. Hata DRC najua mtakataa kutuma jeshi lenu la EAC huko.
Hahahaha, lini KDF watapata silaha za kisasa Kama hizi?
We are not lucky but strong and smart, Mozambique and DRC are our neighbours who are struggling with terrorism and civil war, why not Tanzania?, they tried to attack us, what happened to them?. KDF is very weak army.
Onyesha nchi yoyote hapa Afrika mashariki yenye kumiliki vifaa vya kisasa Kama hivi
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Hizo ni jamii ya Buk missile kama ile iliyopiga ndege ya Malaysia nchini Ukraine miaka michache iliyopita. Variants zake zina range chini ya 50 km ni chache sana modern ndio zinafika 50km.Hizo missiles zinafika 50 km kweli ?
T14 Armata
These are surface to air missiles, hakuna ndege yenye kuruka kufika 50km anganiHizo missiles zinafika 50 km kweli ?
T14 Armata
Tanzanian brigadier general Stevens Mnkande current commander foreign intervention brigade alongside south African,Nepal and Kenyan troops .(you can easily pick out the Tanzanian uniform)Una maana gani?
Unafahamu sare za TPDF?
Propaganda max flight altitude. 14,000 metres (46,000 ft)Hizo ni jamii ya Buk missile kama ile iliyopiga ndege ya Malaysia nchini Ukraine miaka michache iliyopita. Variants zake zina range chini ya 50 km ni chache sana modern ndio zinafika 50km.
Ni low to medium range