Hili la kuapisha Viongozi wa Serikali kibarazani nyumbani kwa Rais limekaaje?

Victoire

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2008
Posts
25,048
Reaction score
60,245
Kusema ukweli Rais Magufuli katupanda watanzania. Sasa kafikia hatua ya kuapisha viongozi wa nchi katika makazi yake binafsi.

Binafsi hii siyo sawa kabisa kimaadili. Hii nchi imekuwa mali binafsi?

This is just too much. Kwanini asiapishe viongozi huko Ikulu Dodoma ama Dar?Ama hapo ikulu ndogo Geita ama ikulu ndogo ama ofisi za serikali hapo Chato?
20200503_105020.jpg

Leo Mwigulu Nchemba kaapishwa pale J's Hoteli ambayo ni mali binafsi ya Magufuli.
 
Kusema ukweli Rais Magufuli katupanda watanzania. Sasa kafikia hatua ya kuapisha viongozi wa nchi katika makazi yake binafsi.

Binafsi hii siyo sawa kabisa kimaadili. Hii nchi imekuwa mali binafsi?

This is just too much. Kwanini asiapishe viongozi huko Ikulu Dodoma ama Dar?Ama hapo ikulu ndogo Geita ama ikulu ndogo ama ofisi za serikali hapo Chato?
Uongozwe na kanuni, sheria na taratibu. Kuna kitabu gani kinaelekeza mahali maalum pa kuapishia?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kusema ukweli Rais Magufuli katupanda watanzania. Sasa kafikia hatua ya kuapisha viongozi wa nchi katika makazi yake binafsi.

Binafsi hii siyo sawa kabisa kimaadili. Hii nchi imekuwa mali binafsi?

This is just too much. Kwanini asiapishe viongozi huko Ikulu Dodoma ama Dar?Ama hapo ikulu ndogo Geita ama ikulu ndogo ama ofisi za serikali hapo Chato?
walipotuambia akina Lissu tuliwaona wajinga, haya sasa leo imekua!
 
Something is not right, nimemtazama hotuba yake ni mwenye hofu na hasira japo alikuwa anajitahidi sana kuificha.

Anaonekana kuumizwa sana na yanayoendelea kwenye mitandao ya kijamii (akina Kigogo hao, lol)

Amejitahidi sana kutuhakikishia tunayoyaona na kusikia sio sahihi na story zake za mapapai ila hatudanganyiki Mzee, tunaona mitaani pia, sio mitandaoni pekee.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom