Hili la kuapisha Viongozi wa Serikali kibarazani nyumbani kwa Rais limekaaje?

Hili la kuapisha Viongozi wa Serikali kibarazani nyumbani kwa Rais limekaaje?

Ngosha mwenzangu unateseka ukiwa wapi ?
Hilo dada Saguda47 kipindi kile Cha dikteta msukuma mwenzie,humu lilikuwa linatishia wajinga kuwa litawapiga risasi au kuwateka wakimkosoa poti wake,wakati hata kwenye Syteam halipo ni mgambo tu wa jiji,

Sasaivi limekuwa na Chuki na Samia alivyoingia tu mamlakani, wakati chini ya uongozi wa Samia askari wamepanda vyeo,hususani Wa jeshi la ulinzi, watumishi pia hawajasahaulika, wakati kwa kipindi chote Cha magu walibaniwa kupanda vyeo na madaraja,

Ni chizi tu au mwenye ukabila na udini ndio atakuwa na chuki na Samia
 
Kusema ukweli Rais Magufuli katupanda watanzania. Sasa kafikia hatua ya kuapisha viongozi wa nchi katika makazi yake binafsi.

Binafsi hii siyo sawa kabisa kimaadili. Hii nchi imekuwa mali binafsi?

This is just too much. Kwanini asiapishe viongozi huko Ikulu Dodoma ama Dar?Ama hapo ikulu ndogo Geita ama ikulu ndogo ama ofisi za serikali hapo Chato?
View attachment 1438653
Leo Mwigulu Nchemba kaapishwa pale J's Hoteli ambayo ni mali binafsi ya Magufuli.
Yani viongozi wanaapishwa hotelini?! This is too much
 
Usituletee ujinga wako wote hapa. Magufuli hajawahi kutoa maisha yake hata kwa ajili ya mama yake aje atoe kwa ajili ya watu baki? Mlilishwa nini mpaka kuwa wapumbavu wa kiwango hiki?
Hatujalishwa kitu Ila tunaona mbali kuliko wewe kijana
 
Usituletee ujinga wako wote hapa. Magufuli hajawahi kutoa maisha yake hata kwa ajili ya mama yake aje atoe kwa ajili ya watu baki? Mlilishwa nini mpaka kuwa wapumbavu wa kiwango hiki?
mpaka mmesahau madai ya katiba mpya,mama anaupiga mwingi sana nyuma yenu.
 
Poa tu ila 2 ukitoa 1 inabaki 1. Bora kubaki na 1 ikiondoka unakuwa unemaliza. Magufuli alikuwa ana ajenda mbaya iliyojificha ndani yake.
pima mwenyewe,kati ya hizo kichwa mbili zinazomfatia mama,ni ipi inapishana mawazo na mwendazake???

yaani bibie anawanyoosha huku kalegeza jicho lakini kilio mnachotoa hakijawahi pata mfano.
 
Back
Top Bottom