Hizo ni hard facts chagu wa malunde na zimekugusa na kwa mara ya kwanza umeniita pumbavu. Ushahidi siyo wa kutafuta ipo wazi. Hata ukisoma nyuzi nyingine za JF utauonaHaya maneno ya kipumbavu unayomtukana rais ndio tusikujibu kuwa unakosea. Usitumie Jf vibaya kumtukana rais kwa ajili ya chuki zako.
Kwani walishawahi kupinga kuwa wewe sio shoga?Chadema mnapinga kila kitu?
[color =red](mara kujifukiza mara kupiga nyungu)Atakufa atatuacha.
Ngoja nicheke tu kimoyo moyo. Hardfacts. Umeshuhudia hapa Tz wanapigwa risasi mabarabarani? Umeshuhudia mh rais anaroga? Wapi umeshuhudia anapora pesa za walipakodi? Kama uwanja wa ndege Chato hata bungeni ulitolewa ufafanuzi. We labda utakuwa una chuki zako tu.Hizo ni hard facts chagu wa malunde na zimekugusa na kwa mara ya kwanza umeniita pumbavu. Ushahidi siyo wa kutafuta ipo wazi. Hata ukisoma nyuzi nyingine za JF utauona
😂😁😁😁😂😂😂Ni muda tu kabla hatujaanza kuona sura yake kwenye note ya shilingi 1,000,000.
Yupo sahihi, tunasubiria na wewe akakuapishe Kilindi.KWANI WEWE ULITAKA AKAWAAPISHIE WAPI?MSOGA?
BenSaa Nane? Azory Gwanda, mauaji ya watu zaidi yta 300 MKIRU?Ngoja nicheke tu kimoyo moyo. Hardfacts. Umeshuhudia hapa Tz wanapigwa risasi mabarabarani? Umeshuhudia mh rais anaroga? Wapi umeshuhudia anapora pesa za walipakodi? Kama uwanja wa ndege Chato hata bungeni ulitolewa ufafanuzi. We labda utakuwa una chuki zako tu.
Mh...Sasa wewe unataka kuishangaza dunia. Ben Saa Nane na Azory kama ni serikali ni serikali mgeenda mahakama kuu na kutaka aletwe na hao wanasiojulikana ambao wewe unawajua. Tena sababu wewe unawajua ungeweka writ ya Habeas corpus. Mahakama ingetenda haki. Hilo Mkiru unatakiwa ukathibishe mahakani maana naona kesi yako na ya Zitto zinafanana, watu 300!BenSaa Nane? Azory Gwanda, mauaji ya watu zaidi yta 300 MKIRU?
Amri ya kumtuma Bashite na kikundi cha WASIOJULIKANA kumjeruhi Tundu Lissu
Niende Mahakama ya nchi gani? Maana za Tanzania maamuzi yanaamuliwa Ikulu, haziko huruMh...Sasa wewe unataka kuishangaza dunia. Ben Saa Nane na Azory kama ni serikali ni serikali mgeenda mahakama kuu na kutaka aletwe na hao wanasiojulikana ambao wewe unawajua. Tena sababu wewe unawajua ungeweka writ ya Habeas corpus. Mahakama ingetenda haki. Hilo Mkiru unatakiwa ukathibishe mahakani maana naona kesi yako na ya Zitto zinafanana, watu 300!
Kuhusu Lissu Labda umtafute Godwin Mollel maana yeye alifichua kila kitu bungeni.
Watu kila siku wanaishinda serikali. Au haufuatilii mambo. Kesi ni ushahidi mkuu.Niende Mahakama ya nchi gani? Maana za Tanzania maamuzi yanaamuliwa Ikulu, haziko huru
Hata Nyerere alikuwa na Ikulu ndogo pale nyumbani kwake Msasani,miaka ile paliitwa Ikulu ndogo ya MsasaniNchi hii toka enzi za mwalimu kila wilaya ina ikulu ndogo,anaebisha aje hapa
Hayo si makazi binafsi ni ikulu ndogo
Halafu katiba haimzui Rais,anaweza kumuapisha mtu hata mnadani,almuradi kanuni za kiapo husika zifuatwe
Iliaanzia hapa uchuro tupuAtakufa atatuacha.