nguruka wa kig0ma
JF-Expert Member
- Jan 16, 2020
- 2,943
- 2,935
KWA MTINDO ULE ALIOANZA NAO WA KAMATA FUNGA, KAMATA UA, PIGA RISASI, FILISI MALI ZAKE,Kijana naona wewe mgeni mpuuzi humu jamvini. Mimi ni mwanaccm pengine hata chekechea hujaanza.
Unadhani sie hatuna namna ya kuonyana wenyewe kwa wenyewe? Halafu mnadhani kila anayempinga Magu kwa style yake ya uongozi wa hovyo ni Chadema?
Katika makosa kama chama tulifanya ni kumpa nafasi huyu mtu, ametuangusha sana kama chama na ndio maana utamaduni wa kumpa mitano tena tutautengua na kumpa mwanaccm mwingine maana tuna utajiri wa watu bora kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
NAAPA HAKUNA MWANA CCM YEYOTE WALA MWANANCHI YEYOTE ANAYEWEZA KUMU ATTACK BWANA YULE. KATU HAITATOKE.
KILA MWANA CCM AMEKUWA KOBE AKITOA KICHWA TU ANAKUTANA NA RUNGU ANARUDISHA KICHWA NDANI.
HAKUNA MARAIS WAANDAMIZI WALA NINI.
Tusubiri msaada wa mabeberu kama zimbabwe
Sent using Jamii Forums mobile app