Mshangai
JF-Expert Member
- Feb 16, 2008
- 468
- 1,087
Kijana naona wewe mgeni mpuuzi humu jamvini. Mimi ni mwanaccm pengine hata chekechea hujaanza.Chadema mtasema yote mwaka Huu mjiandae October tuwafute
Unadhani sie hatuna namna ya kuonyana wenyewe kwa wenyewe? Halafu mnadhani kila anayempinga Magu kwa style yake ya uongozi wa hovyo ni Chadema?
Katika makosa kama chama tulifanya ni kumpa nafasi huyu mtu, ametuangusha sana kama chama na ndio maana utamaduni wa kumpa mitano tena tutautengua na kumpa mwanaccm mwingine maana tuna utajiri wa watu bora kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app