Hili la kuapisha Viongozi wa Serikali kibarazani nyumbani kwa Rais limekaaje?

Rwaitama ndo nani tena ?Ni mawazo yangu sijacopy popote. Ni analysis yangu mwenyewe baada ya kuona kituko hiki Rais alichofanya leo. J's hotel kuna office ya Rais ?
Kwani wewe unazijua ofisi za Rais Tanzania nzima? Zingine zipo hata kwenye magari na ndege pia.
 
Rais Magufuli anazungumzia ujinga wa viongozi wako kutaka "lockdown", huku wakitegemea pesa za walipa kodi kuendesha familia zao. Msikilize vizuri
Mkuu sasa acha hao wananchi wspelekwe pale ununio ndo walipe Kodi vizuri
 
Haijapata kutokea katika historia ya nchi hii na pengine hata nyingine. Huko nyuma hakuna Waziri ambaye kesha wahi kuapishwa kuingia kazini tokea Butiama, Mwanakwerekwe, Nanyumbu au Msata.

Lakini tumeona Waziri Mwigulu akiapishwa upenuni mwa nyumba ya Magufuli huko Chato kama vile House girl anayepewa ajira na kuonyeshwa maeneo yake ya kufanya usafi.

Kwanini shughuli yenye heshima kama hiyo ya kumuingiza kazini Waziri wa Jamhuri ibinafsishwe kuwa ya kibinafsi namna hiyo? Haya mambo ndio yanakiaibisha chama chetu cha Mapinduzi kuonekana cha hovyo kwa kuruhusu baadhi ya viongozi kumshauri vibaya Rais Magufuli kuwa kila jambo liko sawa tu.

Hivi Mwigulu anaweza kufanya kazi akijua ni ya kikatiba au atajisikia kuwa ni kazi ya hisani aliyopewa na Magufuli nyumbani kwake?

Nashauri ni vema kiapo kile kitenguliwe na kurudiwa upya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa mujibu wa sheria tunaambiwa nini je anaapishwa kokote au mpaka iwe ikulu ?

Kwa mujibu wa sheria ikulu ni wapi ?
 
Back
Top Bottom