Huyu mzalendo namba moja alijenga lini hii!? Ni baada ya kuukwaa Urais au hapo kabla?Haya ni matusi makubwa kwa tuliomchagua Rais. Kuapisha kwenye makazi yake binasfi. J's Motel hoteli yake Rais.
Wewe dada utakufa na stress kwa sababu ya wivu. Rais kila alipo kuna ofisi yake kasome sheria inayoanzisha Ofisi ya Rais sasa wewe na ngumbalu yako unakuja na copy and paste ya Rwaitama fala yule!Kusema ukweli Rais Magufuli katupanda watanzania. Sasa kafikia hatua ya kuapisha viongozi wa nchi katika makazi yake binafsi.
Binafsi hii siyo sawa kabisa kimaadili. Hii nchi imekuwa mali binafsi?
This is just too much. Kwanini asiapishe viongozi huko Ikulu Dodoma ama Dar?Ama hapo ikulu ndogo Geita ama ikulu ndogo ama ofisi za serikali hapo Chato?
View attachment 1438653
Leo Mwigulu Nchemba kaapishwa pale J's Hoteli ambayo ni mali binafsi ya Magufuli.
Una wivu wa kike!!Yes. Ilifunguliwa rasmi 2017.
MUNGU mbariki magufuli
Mengine yote unaweza kuwa sahihi kwa ujinga wa Katiba yetu...Nchi hii toka enzi za mwalimu kila wilaya ina ikulu ndogo,anaebisha aje hapa
Hayo si makazi binafsi ni ikulu ndogo
Halafu katiba haimzui Rais,anaweza kumuapisha mtu hata mnadani,almuradi kanuni za kiapo husika zifuatwe
Jinyonge la sivyo utakufa na stress dada!Something is not right, nimemtazama hotuba yake ni mwenye hofu na hasira japo alikuwa anajitahidi sana kuificha.
Anaonekana kuumizwa sana na yanayoendelea kwenye mitandao ya kijamii (akina Kigogo hao, lol)
Amejitahidi sana kutuhakikishia tunayoyaona na kusikia sio sahihi na story zake za mapapai ila hatudanganyiki Mzee, tunaona mitaani pia, sio mitandaoni pekee.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Anapotosha vipi Rais anatembea na ofisi popote alipo ndiyo kawaida. Ni pale tu anapokuwa nje ya nchi ndiyo huwa anaachiwa Makamo wa RaisMengine yote unaweza kuwa sahihi kwa ujinga wa Katiba yetu...
Lakini kwenye makazi unapotosha.... Hujui kuwa hujui!
Rais ana.bendera mbili,ya taifa na ya RaisMengine yote unaweza kuwa sahihi kwa ujinga wa Katiba yetu...
Lakini kwenye makazi unapotosha.... Hujui kuwa hujui!
Mkuu mimi nilichokuwa nakosoa ni wewe kusema pale si makazi yake pale Chato bali ni Ikulu ndogo...Rais ana.bendera mbili,ya taifa na ya Rais
Anapokuwepo Rais lazima.bendera yake iwepo na.anahesabika.yupo ofisini
Mkapa.alimpandiaha cheo lt Generali Sarakikya kuwa General akiwa.uwanja.wa taifa,kwa nini hakusubiri afike ikulu
Anapotosha vipi Rais anatembea na ofisi popote alipo ndiyo kawaida. Ni pale tu anapokuwa nje ya nchi ndiyo huwa anaachiwa Makamo wa Rais
Rwaitama ndo nani tena ?Ni mawazo yangu sijacopy popote. Ni analysis yangu mwenyewe baada ya kuona kituko hiki Rais alichofanya leo. J's hotel kuna office ya Rais ?Wewe dada utakufa na stress kwa sababu ya wivu. Rais kila alipo kuna ofisi yake kasome sheria inayoanzisha Ofisi ya Rais sasa wewe na ngumbalu yako unakuja na copy and paste ya Rwaitama fala yule!
Kwani corona inauwa watz tu ???Rais ana shida sana. Kaamua kutoa wananchi wake kafara.
Acha uboya mtu anakula maisha wewe usiye na uhakika wa kula unasema amechanganyikiwa...Wakuu Rais ana shida...shida tena shida kubwa. Something need to be done soon to save him...
Please mamlaka husika mxhunguzeni Rais..
He is confused...emotional..he looks no hop
Ale maisha wapi kajaa stress tu. Kila akipita mitandaoni watu wanamnanga tu.Acha uboya mtu anakula maisha wewe usiye na uhakika wa kula unasema amechanganyikiwa...
Sent using Jamii Forums mobile app