Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,804
- 134,593
Duh...!.Tuombe mungu asiwe Pascal Mayalla
P
Duh...!.Tuombe mungu asiwe Pascal Mayalla
Wakati wa Dharura kama huu wa Covid -19 Kilicho mbele yako halali kukila ili kuokowa maisha.Kusema ukweli Rais Magufuli katupanda watanzania. Sasa kafikia hatua ya kuapisha viongozi wa nchi katika makazi yake binafsi.
Binafsi hii siyo sawa kabisa kimaadili. Hii nchi imekuwa mali binafsi?
This is just too much. Kwanini asiapishe viongozi huko Ikulu Dodoma ama Dar?Ama hapo ikulu ndogo Geita ama ikulu ndogo ama ofisi za serikali hapo Chato?
View attachment 1438653
Leo Mwigulu Nchemba kaapishwa pale J's Hoteli ambayo ni mali binafsi ya Magufuli.
Tunakutakia mema lakini yasije kwa utaratibu wa kutweza.Duh...!.
P
Kumbuka yeye ni Rais, mtu wa mwisho wa maamuzi katika nchi, hivyo usalama wake ni kitu mhimu sana. Ni kwa sababu hiyo ana walinzi, wenye silaha kali, saa 24.Kusema ukweli Rais Magufuli katupanda watanzania. Sasa kafikia hatua ya kuapisha viongozi wa nchi katika makazi yake binafsi.
Binafsi hii siyo sawa kabisa kimaadili. Hii nchi imekuwa mali binafsi?
This is just too much. Kwanini asiapishe viongozi huko Ikulu Dodoma ama Dar?Ama hapo ikulu ndogo Geita ama ikulu ndogo ama ofisi za serikali hapo Chato?
View attachment 1438653
Leo Mwigulu Nchemba kaapishwa pale J's Hoteli ambayo ni mali binafsi ya Magufuli.
Kwahiyo unatakaje dingii?Alafu we dogo jana ulileta kunijua Sana kwa kunitolea maneno machafu fuko wewe.
CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
Mkuu katiba yetu sio takataka ila vichwani mwetu kuna takataka. Hivi katiba inaelekeza haipaswi kubadilishwa? Au katiba inaelekeza hata waziri haruhusiwi kujiuzulu pale anapoona mambo hayaendi sawa na boss wake?Tatizo letu ni Katiba.
Katiba yetu ni taka taka
Serikali ni yake ndiyo maana anafanya atakacho na katiba inamlinda.Hii ndiyo sababu TanZania ni kivutio cha utalii.Mambo ya ajabu huku hayaishi kuanzia wanyama,Ngorongoro Crater, watu,bahari,sokwe nk +CCM&Viongozi wake....kaapishwa barazani....
Nimecheka sana,na kujiuliza maswali mengi
Umeona eeeh. Yaani mitandao inamuuza sana tena sana. Hapa hatudanganyiki kwa kweli. Mungu katupa akili,ufahamu acha tuvitumie na siyo kuendeshwa na maneno ya Magufuli.Something is not right, nimemtazama hotuba yake ni mwenye hofu na hasira japo alikuwa anajitahidi sana kuificha.
Anaonekana kuumizwa sana na yanayoendelea kwenye mitandao ya kijamii (akina Kigogo hao, lol)
Amejitahidi sana kutuhakikishia tunayoyaona na kusikia sio sahihi na story zake za mapapai ila hatudanganyiki Mzee, tunaona mitaani pia, sio mitandaoni pekee.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Umeona eeeh. Yaani mitandao inamuuza sana tena sana. Hapa hatudanganyiki kwa kweli. Mungu katupa akili,ufahamu acha tuvitumie na siyo kuendeshwa na maneno ya Magufuli.
Na anaonekana kama kapungua kidogo.
Nifah I miss you
Soma hoja ya msingi na uijibie hiyo! Acha kukimbia pambano!Rais Magufuli anazungumzia ujinga wa viongozi wako kutaka "lockdown", huku wakitegemea pesa za walipa kodi kuendesha familia zao. Msikilize vizuri
Ogopa sana huyu mtu anakwambia korona sio ishu, yeye kajificha, yupo tayari mamilioni ya watu yateketee lakini apige hela tu, 2015 ilikuwa ni mistake kubwa kumpa huyu mtu kazi ya uongozi
Sent using Jamii Forums mobile app
Something is not right, nimemtazama hotuba yake ni mwenye hofu na hasira japo alikuwa anajitahidi sana kuificha.
Anaonekana kuumizwa sana na yanayoendelea kwenye mitandao ya kijamii (akina Kigogo hao, lol)
Amejitahidi sana kutuhakikishia tunayoyaona na kusikia sio sahihi na story zake za mapapai ila hatudanganyiki Mzee, tunaona mitaani pia, sio mitandaoni pekee.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kitu kimoja hatuwezi kupinga. Huyu jamaa anayapenda mawe!Chadema mnapinga kila kitu?