Hili la kuapisha Viongozi wa Serikali kibarazani nyumbani kwa Rais limekaaje?

Hili la kuapisha Viongozi wa Serikali kibarazani nyumbani kwa Rais limekaaje?

Hii haina shida kabisa, angeweza hata kumwita kwenye kahawa na kumwapisha hapohapo na kaxi ikasonga mbele!

Wewe ulitaka waende MLIMAN CITY ndio uelewe?
Hamna kilichopopungua kabsa!
Kusema ukweli Rais Magufuli katupanda watanzania. Sasa kafikia hatua ya kuapisha viongozi wa nchi katika makazi yake binafsi.

Binafsi hii siyo sawa kabisa kimaadili. Hii nchi imekuwa mali binafsi?

This is just too much. Kwanini asiapishe viongozi huko Ikulu Dodoma ama Dar?Ama hapo ikulu ndogo Geita ama ikulu ndogo ama ofisi za serikali hapo Chato?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kusema ukweli Rais Magufuli katupanda watanzania. Sasa kafikia hatua ya kuapisha viongozi wa nchi katika makazi yake binafsi.

Binafsi hii siyo sawa kabisa kimaadili. Hii nchi imekuwa mali binafsi?

This is just too much. Kwanini asiapishe viongozi huko Ikulu Dodoma ama Dar?Ama hapo ikulu ndogo Geita ama ikulu ndogo ama ofisi za serikali hapo Chato?
Pale wala siyo nyumbani kwake. Wewe hukuona baada ya kuhutubia ameondoka zake na msafara wa magari? Pale ni sehemu ya hotel pana hadi swimming pool.
 
Something is not right, nimemtazama hotuba yake ni mwenye hofu na hasira japo alikuwa anajitahidi sana kuificha.
Anaonekana kuumizwa sana na yanayoendelea kwenye mitandao ya kijamii (akina Kigogo hao, lol)

Amejitahidi sana kutuhakikishia tunayoyaona na kusikia sio sahihi na story zake za mapapai ila hatudanganyiki Mzee, tunaona mitaani pia, sio mitandaoni pekee.


Sent from my iPhone using JamiiForums
Wewe ni mpumbavu!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
...Kuna haja yakulekebisha katiba/sheria husika hususan kwny masuala kama hayo na kutoa muongozo wa kuapisha wateule raisi ataendesha shughuli zake wapi endapo hali ya hatari ya aina yeyote itatokea ...kwa sasa viongozi kuapishwa chato nadhani hamna sheria inayombana mtukufu kwaiyo tujifunze kitu hapo ili kisijiludie...
 
Duh this is shame kabisa ila nani atahoji abak salama watu wanaogopa kesi za ML but i say this what goes around comes around this too

Time will tell jambo la muhimu Jikinge na COVID19 ipo na inaua wakinge na uwapendao

Its not over until its over...[emoji769]
Kama alivyowahi kusema TL tuna........ Wa ajabu haijawah kutokea narudia tena tuna..... Wa ajabu haijawah kutokea in TL voice

Its not over until its over...[emoji769]
 
Hivi jamani ndugu wana jf katiba yetu inasemaje kuhusu raisi anapowehukia akiwa Ikulu au akiwa matatizo ya kisaikolojia
 
Labda kama ni hivyo ila pale ni nje ya nyumbani kwake. Ila hajataka kumsogelea Mwigulu kabisa na baada ya kuhutubia akasepa zake.
J's Motel kaka. Ni hoteli ya Magufuli. Hivyo ni kibarazani kwake.
2017-12-24.jpg
 
Nikajua mimi peke yangu ndio nimeiona khofu kubwa sana aliyonayo.
Itakuwa analishwa matango pori sana na wasaidizi wake na yeye sababu hana uwezo wa kupembua anayabeba tuu.

Yaani rais wa nchi anadai "watu wanaofanya mazoezi corona inawakwepa" wakati wachezaji kama rudy gobert, donovan mitchel, paul dybala na hata Mwafa ambae hufanya mazoezi mara kwa mara lakini imewapata.

Anatumia lugha ya kitu kwa jaji augustino kwa kusema "alivyoumwa tukapeleka india"
Hivi kweli Rais hajui kiswahili hadi atumie lugha hii.
Rais wa ajabu sana huyu.
Aisee hapo kwa judge hata mimi aliniudhi sana angekua karibu lazma ningemzaba kelbu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom