Sasa chato hoteli kama hiyo wateja utawapata wapi?! "Hapa uchizi tu"J's Motel hotel ya Magufuli. View attachment 1438458
Na mm pia najaribu kuwaza ivi watu wa pale lumumba hawawezi kuitisha kikao cha dharura wakatangaza kumfukuza uanachama bwana mkubwa ivi inawezekana kweli wakuuHivi jamani ndugu wana jf katiba yetu inasemaje kuhusu raisi anapowehukia akiwa Ikulu au akiwa matatizo ya kisaikolojia
DuhJ's Motel hotel ya Magufuli. View attachment 1438458
Yaani leo kachemsha mbaya. Anasema watu watoe hofu.Yeye hadi anaapishia viongozi wa Serikalini kibarazani kwake.Si hofu hiyo jamani ?Aisee hapo kwa judge hata mimi aliniudhi sana angekua karibu lazma ningemzaba kelbu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba unijuze Hivi hapo alipomuapisha mwigilu ni ikulu ndogo au nyumbani kwake?Chadema mnapinga kila kitu?
very well said bro.Tanzania kila mtu mwanasiasa, pia nahisi wengi hatuna kazi za kufanya ndo maana tunafuatilia kila kitu, kwani akiapishiwa ikulu dar si tunafaidika nini au akiwa ikulu dar mtu unafaidika nini aise watanzania .
Kuna kanuni sheria na taratibu gani zinazoeleza chumbani ni pahala pa kulala na bafuni pa kuoga. Mtu akiamua kuoga chumbani so sharti tujiulize kulikoni?Uongozwe na kanuni, sheria na taratibu. Kuna kitabu gani kinaelekeza mahali maalum pa kuapishia?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukishakuwa Rais wa JMT kwa katiba yetuTatizo letu ni Katiba.
Katiba yetu ni taka taka
Nyumbani kwake. Ni hotelini kwake panaitwa J's MotelNaomba unijuze Hivi hapo alipomuapisha mwigilu ni ikulu ndogo au nyumbani kwake?
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona bonge la hotel kwa hadhi yake kijijiniUnashangaa baby. Kazi ipo.
Well said,kuna watu wanaona kawaida Rais kuapisha viongozi wa serikali katika makazi yake binafsi. Mfano leo Mwigulu kaapishiwa J's Motel ambayo ni hoteli ya Rais.Kuna kanuni sheria na taratibu gani zinazoeleza chumbani ni pahala pa kulala na bafuni pa kuoga. Mtu akiamua kuoga chumbani so sharti tujiulize kulikoni?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni mtalii gani ataenda chato? labda mtalii chiziNi hoteli yake. Basi si ndo maana akaweka uwanja wa kimataifa,Burigi pia. Watalii wakija Chato atapata wateja kwenye hoteli yake.
Sio hatuna kazi ni wajibu wetu kuhoji na kudadisi masuala mtambuka unless unataka kizazi cha YES SIR kwa hili imeonesha kuna mapungufu kwenye sheria zetu hazijatoa muongozo endapo kuna hali ya hatari ya aina yeyote mtufuku Rais ataendeshaje shughuli zake kwa sasa hana kosa sababu sheria haijambana wapi ataendesha shughuli zake..Tanzania kila mtu mwanasiasa, pia nahisi wengi hatuna kazi za kufanya ndo maana tunafuatilia kila kitu, kwani akiapishiwa ikulu dar si tunafaidika nini au akiwa ikulu dar mtu unafaidika nini aise watanzania .
Hivi hawawez kumzuia asiongee mana kila akiongea anaharibuYaani leo kachemsha mbaya. Anasema watu watoe hofu.Yeye hadi anaapishia viongozi wa Serikalini kibarazani kwake.Si hofu hiyo jamani ?
Unafahamu ameongea hayo akiwa wapi?Rais Magufuli anazungumzia ujinga wa viongozi wako kutaka "lockdown", huku wakitegemea pesa za walipa kodi kuendesha familia zao. Msikilize vizuri