Hili la kuapisha Viongozi wa Serikali kibarazani nyumbani kwa Rais limekaaje?

Hili la kuapisha Viongozi wa Serikali kibarazani nyumbani kwa Rais limekaaje?

Haya ni matusi makubwa kwa tuliomchagua Rais. Kuapisha kwenye makazi yake binasfi. J's Motel hoteli yake Rais.
 

Attachments

  • 20200503_111448.jpg
    20200503_111448.jpg
    79.3 KB · Views: 10
  • 20200503_111436.jpg
    20200503_111436.jpg
    137.6 KB · Views: 12
  • 20200503_111424.jpg
    20200503_111424.jpg
    65.2 KB · Views: 13
  • 20200503_111413.jpg
    20200503_111413.jpg
    55.5 KB · Views: 10
  • 20200503_111402.jpg
    20200503_111402.jpg
    41.2 KB · Views: 11
  • 2017-12-24.jpg
    2017-12-24.jpg
    48.9 KB · Views: 9
  • 20200503_105020.jpg
    20200503_105020.jpg
    90 KB · Views: 12
Anaonekana yuko desperate na confused. Mimi nilikua nasikiliza kupitia radio, kuna mtu alikua anakohoa mara kwa mara, ni nani?
Mkuu alikuwa anapaliwa na mate kooni siyo kikohozi au ugonjwa wa kifua.
Ile kawaida na ndio maana wanaweka maji ya kunywa jirani ili ikitokea vile anywe kusafisha koo.

Mbona Museveni kuna hotuba yake moja mwanzo mwanzo wa lockdown UG alikuwa anapaliwa na kukohoa kama vile na watu hawakuhisi mgonjwa kama huyu?
 
Yaani leo ndo kaharibu. Anashangaa shehe aliefunga msikiti. Hajui huu ugonjwa unaambukizwa kwa watu kwa njia ya contact. Watu wakifunga misikiti ni kwa sababu wanazuia contact.
Sema mzee anakohoa

Its not over until its over...[emoji769]
 
Katiba inasemaje kwani kuhusu kuapisha na sheria inasemaje, usije kusema tatizo katiba kumbe hata haujawahi kuisoma
Hujaelewa mantiki yangu.
Katiba yetu hairuhusu wananchi kuchagua mtu wampendae.
Wewe kama unaishi Tanzania na ulikuwepo kwenye chaguzi za 2015 na kuja juu basi sihitaji kueleza sana.
 
Back
Top Bottom