Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 26,829
- 38,912
Kile kikohoho nilikisikia pia.Nadhani ni MwigurAnaonekana yuko desperate na confused. Mimi nilikua nasikiliza kupitia radio, kuna mtu alikua anakohoa mara kwa mara, ni nani?
Tatizo sio Rais wala serikali. Tatizo ni wananchi wenyewe. Ni mambumbumbu mpaka yamepitiliza.
Sent using Jamii Forums mobile app
"HERI MIMI SIJASEMA!"Hivi jamani ndugu wana jf katiba yetu inasemaje kuhusu raisi anapowehukia akiwa Ikulu au akiwa matatizo ya kisaikolojia
Wametumwa na mabeberu wafe ili uchumi wetu unaopaa kama tiara uzorote, kisa tu tulianza kuwa dona kantre, mabeberu kwa wivu hawajambo.Kwa hiyo hata yale majeneza kule makaburini wale maiti nao wanatumiwa na mabeberu?
Na wale tunaowaona wameanguka vituo vya daladala na huko mitaani nao wanatumiwa na mabeberu?
Kama tatizo sio kubwa kwanini hajarudi DSM kumuapisha Mwigulu?
Siku hizi sizioni picha akiwa kanisani, kuna alieziona picha au video zake za leo?
Kama haendi kanisani sababu ni nini, msiseme mgonjwa, kwasababu bado anafanya kazi nyingine.
Eti kapeleka sampuli za mapapai na maparachichi, aisee tuheshimiane basi hata kidogo, haya maigizo huu sio muda wake...
Watu wanalalamika vifaatiba vichache halafu wewe unapeleka sampuli za mapapai, wakati kuna wanaohitaji hiyo huduma kujua hali za afya zao!.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kukiwa na halaiki ya vifo kama Italy kwa mfano, unadhani bado na nguvu zake atakuwa mshindi? Ilà kama kwa Imani yake tukafa kwa uchache atabeba ujiko wote!!Him off course .Kwa sababu ana power yote. Na sisi wananchi ni ignorant hatuwezi kuhoji.
Ila jamaa ni mwepesi sana si unaona anavyoogopa social media ?
Hasa… hasaa… hasa, KINANA!Inabd atuombe msamaha watz kwa hiki walichotuletea na matokeo yake hata wenywe wanayaona
Its not over until its over...[emoji769]
Kusema ukweli Rais Magufuli katupanda watanzania. Sasa kafikia hatua ya kuapisha viongozi wa nchi katika makazi yake binafsi.
Binafsi hii siyo sawa kabisa kimaadili. Hii nchi imekuwa mali binafsi?
This is just too much. Kwanini asiapishe viongozi huko Ikulu Dodoma ama Dar?Ama hapo ikulu ndogo Geita ama ikulu ndogo ama ofisi za serikali hapo Chato?
Kinachostahili kupingwa.
Tatizo sio Rais wala serikali. Tatizo ni wananchi wenyewe. Ni mambumbumbu mpaka yamepitiliza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeye anafuata measures zote.Yupo Chato katulia,kanisani haendi. Ila anawaambia wananchi waendelee kwenda kanisani,mikusanyiko. Yeye binafsi anajitenga. Wananchi watakufa wa Coronavirus,yeye yupo safe.Kukiwa na halaiki ya vifo kama Italy kwa mfano, unadhani bado na nguvu zake atakuwa mshindi? Ilà kama kwa Imani yake tukafa kwa uchache atabeba ujiko wote!!
MkuuRais Magufuli anazungumzia ujinga wa viongozi wako kutaka "lockdown", huku wakitegemea pesa za walipa kodi kuendesha familia zao. Msikilize vizuri
Mbona na wewe unapinga sasa?
Ok...Nyumbani kwake. Ni hotelini kwake panaitwa J's MotelView attachment 1438469
Msalimie sirjeffSomething is not right, nimemtazama hotuba yake ni mwenye hofu na hasira japo alikuwa anajitahidi sana kuificha.
Anaonekana kuumizwa sana na yanayoendelea kwenye mitandao ya kijamii (akina Kigogo hao, lol)
Amejitahidi sana kutuhakikishia tunayoyaona na kusikia sio sahihi na story zake za mapapai ila hatudanganyiki Mzee, tunaona mitaani pia, sio mitandaoni pekee.
Sent from my iPhone using JamiiForums
"Nimeshatoa instructions wasilipwe posho, wakalipwe na hao mabeberu wanaowatuma"[emoji851]
Unforgetable