prosper cliff
JF-Expert Member
- Jan 19, 2017
- 664
- 710
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] mimi kiongozi wa malaika mbinguniNILISHASEMA SIPANGIWI CHA KUFANYA, MIMI NI MTUKUFU
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] mimi kiongozi wa malaika mbinguniNILISHASEMA SIPANGIWI CHA KUFANYA, MIMI NI MTUKUFU
furahi kuona watu wanafuatilia mambo ya taifa laoTanzania kila mtu mwanasiasa, pia nahisi wengi hatuna kazi za kufanya ndo maana tunafuatilia kila kitu, kwani akiapishiwa ikulu dar si tunafaidika nini au akiwa ikulu dar mtu unafaidika nini aise watanzania .
tofautisha kujificha na kufichwa!!Hivi unaweza kuwakatalia usalama wa taifa wakikuambia kaa hapa mzee??Ogopa sana huyu mtu anakwambia korona sio ishu, yeye kajificha, yupo tayari mamilioni ya watu yateketee lakini apige hela tu, 2015 ilikuwa ni mistake kubwa kumpa huyu mtu kazi ya uongozi
Sent using Jamii Forums mobile app
Rais ni mhimili mkuu kuliko Bunge na mahakama. Yaani yeye anaagiza tu. Tumekwisha Bunge na Mahakama zote zinaagizwa na Rais. Hazijitegemei.Leo ndo nimegundua kiwa Rais anaweza kuliagiza Bunge. Sasa hapo ni mambo mangapi ambayo yamekuwa yakiagizwa na kutekelezwa?
Sent using Jamii Forums mobile app
umeona nini.umemzika ndugu yako?hata hapo ulipo mwenyewe una corona.trust meSomething is not right, nimemtazama hotuba yake ni mwenye hofu na hasira japo alikuwa anajitahidi sana kuificha.
Anaonekana kuumizwa sana na yanayoendelea kwenye mitandao ya kijamii (akina Kigogo hao, lol)
Amejitahidi sana kutuhakikishia tunayoyaona na kusikia sio sahihi na story zake za mapapai ila hatudanganyiki Mzee, tunaona mitaani pia, sio mitandaoni pekee.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mbona na wewe unapinga sasa?
Blali bastad!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]sisiem mwenzako huyo.. Sema yeye ana akili siyo punga km ww
Kabombe;Nchi hii toka enzi za mwalimu kila wilaya ina ikulu ndogo,anaebisha aje hapa
Hayo si makazi binafsi ni ikulu ndogo
Halafu katiba haimzui Rais,anaweza kumuapisha mtu hata mnadani,almuradi kanuni za kiapo husika zifuatwe
Wakati yeye yupo lockdownRais Magufuli anazungumzia ujinga wa viongozi wako kutaka "lockdown", huku wakitegemea pesa za walipa kodi kuendesha familia zao. Msikilize vizuri
Hujakataa bali umepinga kila kitu 😀😀😀Mi sijapinga. Ila nimekataa hicho ulichosema kwa post. Wengi wenu mjo kinyume au mnapinga kila kitu sio kinachostahili.
Sent using Jamii Forums mobile app by My phone
Eti nabakia Africa.
Hata usalamaRais ni mhimili mkuu kuliko Bunge na mahakama. Yaani yeye anaagiza tu. Tumekwisha Bunge na Mahakama zote zinaagizwa na Rais. Hazijitegemei.
Huwezi fanya kazi mahali popote pale,ndiyo maana kuna ofisi rasmi za kufanya kazi.Popote tu pale mtu anaapishwa. Wala sio issue sana.
Muhimu watu wafanye kazi walizotumwa kufanya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sheria basi inamruhusuSio hatuna kazi ni wajibu wetu kuhoji na kudadisi masuala mtambuka unless unataka kizazi cha YES SIR kwa hili imeonesha kuna mapungufu kwenye sheria zetu hazijatoa muongozo endapo kuna hali ya hatari ya aina yeyote mtufuku Rais ataendeshaje shughuli zake kwa sasa hana kosa sababu sheria haijambana wapi ataendesha shughuli zake..
Nani kasema chato hakuna ikulu?Kusema ukweli Rais Magufuli katupanda watanzania. Sasa kafikia hatua ya kuapisha viongozi wa nchi katika makazi yake binafsi.
Binafsi hii siyo sawa kabisa kimaadili. Hii nchi imekuwa mali binafsi?
This is just too much. Kwanini asiapishe viongozi huko Ikulu Dodoma ama Dar?Ama hapo ikulu ndogo Geita ama ikulu ndogo ama ofisi za serikali hapo Chato?
View attachment 1438653
Leo Mwigulu Nchemba kaapishwa pale J's Hoteli ambayo ni mali binafsi ya Magufuli.
HATA HARUSI ZA MKEKA NI SAWA NA ZA MSIKITINI.PIA HARUSI YA KUFUNGIWA NA PADRI KTK JUMUIA AU NYUMBANI NI SAWA NA ZILE ZA KANISANI. Nia njema ya tukio ndio muhimu. Kama ameapa kama wengine ni sawa tu. TUKO KWENYE VITAKusema ukweli Rais Magufuli katupanda watanzania. Sasa kafikia hatua ya kuapisha viongozi wa nchi katika makazi yake binafsi.
Binafsi hii siyo sawa kabisa kimaadili. Hii nchi imekuwa mali binafsi?
This is just too much. Kwanini asiapishe viongozi huko Ikulu Dodoma ama Dar?Ama hapo ikulu ndogo Geita ama ikulu ndogo ama ofisi za serikali hapo Chato?
View attachment 1438653
Leo Mwigulu Nchemba kaapishwa pale J's Hoteli ambayo ni mali binafsi ya Magufuli.
Huko kwao anafanya kazi, kaapisha mtu leo, na wengine wiki mbili zilizopita. Kodi yako anaifanyia kazi huko huko Chato.Mkuu
Kwahyo Mm nalipa kodi ili raisi ajiweke lockdown mwenyew huko kwao ilhali akinisisitiza Mm nikatafute Kifo?
Sent using Jamii Forums mobile app