Hiyo hotel ipo Zanzibar, Iringa au Kigoma?Sasa hujiulizi kwa nini baada ya kuapishwa kama Rais,hakuendelea kuishi kwake Chato ?Sasa office za serikalini za nini kama Rais anaweza kufanya kazi za serikali nyumbani au hotelini kwake ?
No, si hapa! Subiri nitatafuta nikurudieBandiko ni hili, lisome
Kiswahili cha Kisiasa Kwa Watanzania: Ikulu sio Eneo Specific, ni Makazi ya Rais, Tuna Ikulu ya Magogoni, Chamwino, Sasa Hadi Ikulu ya Chato! - JamiiForums
Ukikuta nimeandika Ikulu ndogo ya Chato, nirudie!.
P
Zitto anataka itungwe sharia ya kumshtaki Rais atokapo madarakani.Mumtume "Juma Ngamia" alipinge wazo hilo.
Hii imekaa poa sana.
duhhh, hiyo noti sitaitumia kabisa aseeeNi muda tu kabla hatujaanza kuona sura yake kwenye note ya shilingi 1,000,000.
Dhifa za serikali au makongamano zinazotumia hela za umma ni lazima zifanyike kwenye kumbi za serikali au kumbi za Taasisi zake. Hiyo hoteli ni ya umma? Wacha ujinga? Hii ni policy ya Serikali ya tangu 2015, imebadilikaje ghafla bila secular yoyote ya serikali?Rais Magufuli anazungumzia ujinga wa viongozi wako kutaka "lockdown", huku wakitegemea pesa za walipa kodi kuendesha familia zao. Msikilize vizuri
Lete picha,Rais hawezi kuishi hoteli weweHapo kuna hoteli na kuna wafanyakazi.wa benki na watumishi mbalimbali wamepanga hapo pia; unaposema hapo ni ikulu ndogo ya Chato uwatendei haki watanzania ambao hawapajui Chato.
Fedha yote ya kujenga hii hoteli alitoa wapi?J's Motel hotel ya Magufuli. View attachment 1438458
Ndio maana Chato kunalazimishwa kujengwa maofisi makubwa ya umma mpaka mbuga kuanzishwa ili wateja wa hoteli wapatikane. Sasa nimeelewa kinachoendelea.Sasa chato hoteli kama hiyo wateja utawapata wapi?! "Hapa uchizi tu"