Hili la kuapisha Viongozi wa Serikali kibarazani nyumbani kwa Rais limekaaje?

Hili la kuapisha Viongozi wa Serikali kibarazani nyumbani kwa Rais limekaaje?

Kusema ukweli Rais Magufuli katupanda watanzania. Sasa kafikia hatua ya kuapisha viongozi wa nchi katika makazi yake binafsi.

Binafsi hii siyo sawa kabisa kimaadili. Hii nchi imekuwa mali binafsi?

This is just too much. Kwanini asiapishe viongozi huko Ikulu Dodoma ama Dar?Ama hapo ikulu ndogo Geita ama ikulu ndogo ama ofisi za serikali hapo Chato?
View attachment 1438653
Leo Mwigulu Nchemba kaapishwa pale J's Hoteli ambayo ni mali binafsi ya Magufuli.
Katiba haijakataza hivyo ni sahihi .japo nadhani tubadili hili
 
Something is not right, nimemtazama hotuba yake ni mwenye hofu na hasira japo alikuwa anajitahidi sana kuificha.

Anaonekana kuumizwa sana na yanayoendelea kwenye mitandao ya kijamii (akina Kigogo hao, lol)

Amejitahidi sana kutuhakikishia tunayoyaona na kusikia sio sahihi na story zake za mapapai ila hatudanganyiki Mzee, tunaona mitaani pia, sio mitandaoni pekee.


Sent from my iPhone using JamiiForums
Na wewe mrudishe Habib huko ulikomficha😀😀
 
Rais Magufuli anazungumzia ujinga wa viongozi wako kutaka "lockdown", huku wakitegemea pesa za walipa kodi kuendesha familia zao. Msikilize vizuri

Kila nikiangalia teuzi huwa najaribu kuona jina lako kama lipo. Kwa heshima na taadhima nakuomba Mh. Mwenyekiti wangu wa chama mtazame huyu ndugu maana ameonesha uzalendo kiwango cha 5G, macho bendera mwili bendera.
 
Wakuu Rais ana shida...shida tena shida kubwa. Something need to be done soon to save him...

Please mamlaka husika mxhunguzeni Rais..
He is confused...emotional..he looks no hop
Dah Mkuu wewe utakuwa na matatizo sana, unahitaji counseling, Rais anafanya kazi zake, ana wasaidizi kibao, washauri lukuki halafu unasema ana matatizo, Kwanini sio wewe mwenye matatizo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio sitaki. Hata kama sitaki haitasaidia. Ila nahoji tu. Huyu Rais anajiona yeye ndo yeye. Yupo juu ya Ikulu hadi anaapisha viongozi kibarazani kwake.
Ikulu ni makazi ya Rais yaliyoidhinishwa,/popote penye makazi Rasmi ya Rais ndipo Ikulu, Kila Wilaya ina Ikulu ndugu, sioni tatizo la wapi anaapishwa Kiongozi.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ikulu ni makazi ya Rais yaliyoidhinishwa,/popote penye makazi Rasmi ya Rais ndipo Ikulu, Kila Wilaya ina Ikulu ndugu, sioni tatizo la wapi anaapishwa Kiongozi.


Sent using Jamii Forums mobile app

Ni afadhali kibaraza chenyewe kingeandaliwa basi, ile ni dharau kwa waziri... mmefungwa akili tu mnalazimika kusifu kila pambio.
 
Kusema ukweli Rais Magufuli katupanda watanzania. Sasa kafikia hatua ya kuapisha viongozi wa nchi katika makazi yake binafsi.

Binafsi hii siyo sawa kabisa kimaadili. Hii nchi imekuwa mali binafsi?

This is just too much. Kwanini asiapishe viongozi huko Ikulu Dodoma ama Dar?Ama hapo ikulu ndogo Geita ama ikulu ndogo ama ofisi za serikali hapo Chato?
View attachment 1438653
Leo Mwigulu Nchemba kaapishwa pale J's Hoteli ambayo ni mali binafsi ya Magufuli.
Sioni tatizo. Nyerere si aliapishwa kwenye uwanja wa michezo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Raisi huyu ndo anaetakiwa kuongoza Africa. Raisi anae faa kuikomboa Africa ni Yule ambaye matendo yake hayatabiriki huku yakiwa yamejaa busara na hekima Kwa wananchi wake.
World order ni Kwa ajiri ya kunufaisha wasaliti na ma beberu.
 
Kusema ukweli Rais Magufuli katupanda watanzania. Sasa kafikia hatua ya kuapisha viongozi wa nchi katika makazi yake binafsi.

Binafsi hii siyo sawa kabisa kimaadili. Hii nchi imekuwa mali binafsi?

This is just too much. Kwanini asiapishe viongozi huko Ikulu Dodoma ama Dar?Ama hapo ikulu ndogo Geita ama ikulu ndogo ama ofisi za serikali hapo Chato?
View attachment 1438653
Leo Mwigulu Nchemba kaapishwa pale J's Hoteli ambayo ni mali binafsi ya Magufuli.
Wakosoaji wa JPM kazi mnayo
 
Ndo maana nikasema kimaadili.
Mtumishi wa umma anatakiwa awe ofisini kwake.Banker anatakiwa awe Benk,polisi awe sehemu yake na hata mtu wa TRA.Hivi hawa wanaweza kufanyia kazi nje ya ofisi kwa zaidi ya mwezi mzima?Na majarada au wananchi wanaotaka huduma yako wakufuate sehemu ulipo?

Ghalama za mtu kufuata huduma ya kiserikali mbali malazi na per DM/posho inakuwaje?Ghalama za kuhamishwa ofisi kwa kipindi hicho kwani kuna walinzi na wasaidizi wengi wanao lipa per DM/posho ni za serikali.Mawaza na kuomba ufafanuzi.
 
Back
Top Bottom