Kinachostahili kupingwa.Chadema mnapinga kila kitu?
Uongozwe na kanuni, sheria na taratibu. Kuna kitabu gani kinaelekeza mahali maalum pa kuapishia?Kusema ukweli Rais Magufuli katupanda watanzania. Sasa kafikia hatua ya kuapisha viongozi wa nchi katika makazi yake binafsi.
Binafsi hii siyo sawa kabisa kimaadili. Hii nchi imekuwa mali binafsi?
This is just too much. Kwanini asiapishe viongozi huko Ikulu Dodoma ama Dar?Ama hapo ikulu ndogo Geita ama ikulu ndogo ama ofisi za serikali hapo Chato?
Hakuna ni sababu walijua Ikulu ndo mahali sahihi.Uongozwe na kanuni, sheria na taratibu. Kuna kitabu gani kinaelekeza mahali maalum pa kuapishia?
Sent using Jamii Forums mobile app
walipotuambia akina Lissu tuliwaona wajinga, haya sasa leo imekua!Kusema ukweli Rais Magufuli katupanda watanzania. Sasa kafikia hatua ya kuapisha viongozi wa nchi katika makazi yake binafsi.