kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 11,190
- 24,620
Nimeona waziri akitangaza kuna kampuni ya nje inakuja kwa ajili ya kuchanja mifugo yote inayotumiwa kwa kitoweo nchi nzima
Kuanzia kuku mpaka Ng'ombe watachanjwa!!
Na chanjo itakua bure
Hii proposal ilipelekwa kenya eti kina Bilget wapeleke mradi wa Nyama ya maabara halafu wachanje mifugo yote nchi nzima, na ndo sababu ilichangia kenya watu wakakiwasha kwa maandamano
Na haya yote ni masharti ya mikopo tunayopewa IMF, na WB
Ishu ya tozo kumbe ilikua ni masharti ya pesa za Covid kutoka IMF na WB
Ishu ya nauli kupanda,mafuta na makato kila kona ilikua ni hizo hayo hayo masharti
Sasa hivi kakopa huko kaamua kuchanja mifugo yote nchi nzima tena kibaya zaidi wanaokuja kuchanja ni wageni sio waTanzia.
Bado kaamua watz mifugo yao ichanjwe yote kila kuna fedha alikopa imf na wb
Mambo mengine yanatia hasira mno