shamariwa chool
JF-Expert Member
- Dec 14, 2024
- 516
- 551
M
Mkuu mbwa wana chanjo na miaka yoote tuna chanja ata ng'ombe pia tunachanja ugonjwa wa ndigana sasa hhyo chanjo isyo na ugonnjwa ndo wakennya. WakikataaKwa sababu mbwa mwenye kichaa ni hatari hata kwa watu wasiomiliki huyo mbwa.