Nimeona waziri akitangaza kuna kampuni ya nje inakuja kwa ajili ya kuchanja mifugo yote inayotumiwa kwa kitoweo nchi nzima
Kuanzia kuku mpaka Ng'ombe watachanjwa!!
Na chanjo itakua bure
Hii proposal ilipelekwa kenya eti kina Bilget wapeleke mradi wa Nyama ya maabara halafu wachanje mifugo yote nchi nzima, na ndo sababu ilichangia kenya watu wakakiwasha kwa maandamano
Na haya yote ni masharti ya mikopo tunayopewa IMF, na WB
Ishu ya tozo kumbe ilikua ni masharti ya pesa za Covid kutoka IMF na WB
Ishu ya nauli kupanda,mafuta na makato kila kona ilikua ni hizo hayo hayo masharti
Sasa hivi kakopa huko kaamua kuchanja mifugo yote nchi nzima tena kibaya zaidi wanaokuja kuchanja ni wageni sio waTanzia.
Bado kaamua watz mifugo yao ichanjwe yote kila kuna fedha alikopa imf na wb
Mambo mengine yanatia hasira mno
Hao wakina Bilget si niliwahi kusikia wamesababisha ugumba na matatizo chungu mzima nchi Fulani huko Asia? Au siyo Hao na team yao?Nimeona waziri akitangaza kuna kampuni ya nje inakuja kwa ajili ya kuchanja mifugo yote inayotumiwa kwa kitoweo nchi nzima
Kuanzia kuku mpaka Ng'ombe watachanjwa!!
Na chanjo itakua bure
Hii proposal ilipelekwa kenya eti kina Bilget wapeleke mradi wa Nyama ya maabara halafu wachanje mifugo yote nchi nzima, na ndo sababu ilichangia kenya watu wakakiwasha kwa maandamano
Na haya yote ni masharti ya mikopo tunayopewa IMF, na WB
Ishu ya tozo kumbe ilikua ni masharti ya pesa za Covid kutoka IMF na WB
Ishu ya nauli kupanda,mafuta na makato kila kona ilikua ni hizo hayo hayo masharti
Sasa hivi kakopa huko kaamua kuchanja mifugo yote nchi nzima tena kibaya zaidi wanaokuja kuchanja ni wageni sio waTanzia.
Bado kaamua watz mifugo yao ichanjwe yote kila kuna fedha alikopa imf na wb
Mambo mengine yanatia hasira mno
Eti kuchanja mifugo nchi nzimq kuanzia kuku mpaka ng'ombe. Kwa Tanzania hii haiwezekaniHii issue ina ukweli gani. Hivi kuchanja mifugo yote Tanzania unafikiri ni mchezo?
Kuchanja watu wote peke yake ni almost impossible. Na hao wageni watakaokuja kufanya hiyo kazi ni wangapi? Million?
Halafu ni chanjo gani hiyo? Chanjo ya kuku huwezi kuitumia kwa mbuzi au ngombe. Chanjo ziko specific.
Sasa sisi tusiona na mwanga hebu tufungue wewe unaejua, kuna shida gani wakichanjwa?
Wanapandikiza mpox na ebola kwenye mifugo ili mkila hiyo nyama muugue mufe.Ng'ombe watashindwa kunyambaa wakichanjwa.
Hii nilisikia huko kwa kina kasongo.
Wanapandikiza mpox na ebola kwenye mifugo ili mkila hiyo nyama muugue mufe.
Kama ni kweli hamna cha maana hapo ni miradi ya watu hiyo kama ilivyokuwa covid.Nimeona waziri akitangaza kuna kampuni ya nje inakuja kwa ajili ya kuchanja mifugo yote inayotumiwa kwa kitoweo nchi nzima
Kuanzia kuku mpaka Ng'ombe watachanjwa!!
Na chanjo itakua bure
Hii proposal ilipelekwa kenya eti kina Bilget wapeleke mradi wa Nyama ya maabara halafu wachanje mifugo yote nchi nzima, na ndo sababu ilichangia kenya watu wakakiwasha kwa maandamano
Na haya yote ni masharti ya mikopo tunayopewa IMF, na WB
Ishu ya tozo kumbe ilikua ni masharti ya pesa za Covid kutoka IMF na WB
Ishu ya nauli kupanda,mafuta na makato kila kona ilikua ni hizo hayo hayo masharti
Sasa hivi kakopa huko kaamua kuchanja mifugo yote nchi nzima tena kibaya zaidi wanaokuja kuchanja ni wageni sio waTanzia.
Bado kaamua watz mifugo yao ichanjwe yote kila kuna fedha alikopa imf na wb
Mambo mengine yanatia hasira mno
Yaleyale ya Covid 19 yanarudi kwa njia nyingineKuanzia kuku mpaka Ng'ombe watachanjwa!!
Na chanjo itakua bure