Hili la kuchanja mifugo yote nchi nzima ni la kupingwa kwa nguvu!!

Nchi ikiongozwa na waislamu upumbavu unakuwa mwingi nchini ni vizuri waislamu wapigwe chini kwenye mambo ya uongozi wawe sawa na wanawake .
 
Ilkua COVID tukakarakashwa wee sasa wamehamia kwenye mbuzi zetu.
 
Hao wakina Bilget si niliwahi kusikia wamesababisha ugumba na matatizo chungu mzima nchi Fulani huko Asia? Au siyo Hao na team yao?
hao ni watumishi wa shetani kama wanakaa kupanga next pandemic iwe lini na iwe nini,huwezi Jua huenda safari hii mifugo ikawa chanzo cha tatizo.
 
Kwa hiyo sisi huku Serikali imeshindwa kuwadunga chanjo?
 
Kuna unabii wa mwaka huu niliusikiliza kutoka kwa mtumishi wa Mungu, ukitadharisha kuhusu chanjo ya mifugo Africa.
Unaweza seach you tube JOHN CHI PROPHES 2025
 
Siwezi peleka ng'ombe wangu wakachanjwe chanjo ya bure. Hao watakua kwenye trial ya chanjo yao.

Mbinu hii hutumika pia kwa binadamu, kufanya majaribio ya kisayansi ya dawa au chanjo mpya.
Shtukeni.
 
Kwa sababu mbwa mwenye kichaa ni hatari hata kwa watu wasiomiliki huyo mbwa.
Wazungu waje kuchanja mifugo milioni 100 Tanzania nzima kwa mamilioni ya dola zao, ili wapate nini toka kwetu. Watanzania ni maiti wanaotembea. Hawahoji chochote. Hapo tumepigwa.
 
Siwezi peleka ng'ombe wangu wakachanjwe chanjo ya bure. Hao watakua kwenye trial ya chanjo yao.

Mbinu hii hutumika pia kwa binadamu, kufanya majaribio ya kisayansi ya dawa au chanjo mpya.
Shtukeni.
Kwa mujibu wa utabiri niliousikiliza (ref post yangu ya hawali), hiyo chanjo italeta athari kubwa sana kwa binadamu
 
Wazungu waje kuchanja mifugo milioni 100 Tanzania nzima kwa mamilioni ya dola zao, ili wapate nini toka kwetu. Watanzania ni maiti wanaotembea. Hawahoji chochote. Hapo tumepigwa.
Sasa hivi wanapochanja kila mtoto anayezaliwa wanapata nini kutoka kwetu?
 
Umeandika nini, mbn naona upupu tu
 
Nashukuru kwa taarifa mkuu niwapgie baba na mama waikona watu na makoti. Meupe na coolbox mkonon wawafungulie mbwa ziwakimbizee .unaweza shangaa ng'ombe anachanjwa hatoi tena mmaziwa au mimba znaharbika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…