Hili la kuchanja mifugo yote nchi nzima ni la kupingwa kwa nguvu!!

M
Kwa sababu mbwa mwenye kichaa ni hatari hata kwa watu wasiomiliki huyo mbwa.
Mkuu mbwa wana chanjo na miaka yoote tuna chanja ata ng'ombe pia tunachanja ugonjwa wa ndigana sasa hhyo chanjo isyo na ugonnjwa ndo wakennya. Wakikataa
 
Huyo mleta mada hajielezea vya kutosha anapinga bila kuweka point yenye mashiko.
Alitakiwa afanya uchambuzi yakinifu au basi alete taarifa kamili ya serikali kuhusu hiyo chanjo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…