King Kisali
JF-Expert Member
- Nov 20, 2019
- 1,041
- 1,349
Hivi siku hizi mtu akiongea ukweli anaeneneza chili? OowkAcha siasa za kichoko wewe, lengo lako ni kueneza chuki kuhusu zoezi la anwani za makazi
Usiwaze, nunua Cha kwako kiweke hapo. Vitu vingne ni vidogo tu Hasa ukiwa huku mjini. Kibao Cha kwako unataka serikal ikuwekee jombi.Nimetumiwa ujumbe na mtendaji wa kata nifuate kibao cha namba za makazi niende na shilingi 5000 ya kulipia , ilipo nyumba nyingine mtendaji kanitumia meseji niende nikalipia 5500 , hivi, hivi vibao vya namba za anuani ya makazi vinalipiwa tena? . Serikali ya awamu ya sita jamaniiiii mbona hivyo , yaani waziri atembee juu kwa helikopta ya gharamu ya juu halafu sisi tulipia vibao vya namba za anuani ya makazi kweli? Tena kila kata na gharama yake tofauti ? . Hivi hii serikali jamani mbona makato kila kona .
Hana lengo hilo labda wewe umemuelewa vibayaAcha siasa za kichoko wewe, lengo lako ni kueneza chuki kuhusu zoezi la anwani za makazi
Matusi ya niniAcha siasa za kichoko wewe, lengo lako ni kueneza chuki kuhusu zoezi la anwani za makazi
Hao watoto wa panya road,hawelewi chochote zaidi ya kukata watu mapanga,achana naeHana lengo hilo labda wewe umemuelewa vibaya
Harafu mbona unaandika kwa hasira sana mkuu!?
Yote kwa yote makato mpaka kieleweke
Mkuu ni kweli,baadhi ya viongozi wa serkali za mitaa wanatumia fursa hi kula kwa urefu wa kamba yao.Acha siasa za kichoko wewe, lengo lako ni kueneza chuki kuhusu zoezi la anwani za makazi