residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,146
- 11,434
Kwamba idadi ya karatasi vituoni inapelekwa kulingana na idadi ya waliojiandikisha.Binafsi hayo yote sikubaliani nayo... Kitambulisho cha mpiga kura ndicho pekee chenye sifa yakutumiwa na mpiga kura..
Hili lakukosewa na kurudia ndio wizi wa mchana kabisa, kwasababu moja ya hoja zao za kwanini watu wasipige kura walipo hasa ya uRais ni kwamba idadi ya karatasi vituoni inapelekwa kulingana na idadi ya waliojiandikisha.
Sasa watajuaje wangapi watakosea ili katika idadi waongeze za ziada.
TUSHTUKE?
Tume imeruhusu vitu viwili vya ajabu.
Mosi ni kuruhusu watu kutumia vitambulisho mbadala (Pasi ya kusafiria na leseni ya udereva).
Pili ni kuruhusu mpiga kura kurudia kupiga tena kura iwapo alikosea.
Je,huu sio mwanya wa "ushindi wa kishindo"!?
Hii ya kuruhusu vitambulisho mbadala nakubaliana nalo,lakini kwa nini huu uamuzi uje wakati huu?
Hili la kurudia kupiga kura,hapana kwa kweli.
Kukosea kupi kunaruhusiwa kurudia?
Unajua mana ya idadi ya karatasi za kura zinazopelekwa kituoni hutokana na idadi ya wapiga kura kwenye kituo husika!?Kura ni ile iliyopigwa na kudumbukizwa kwenye sanduku la kura baada ya hapo hakuna kiachoweza kusahihishwa wala kurudiwa.
nadhani tume imetoa nafasi kwa mpiga kura akigundua amekosea aombe karatasi nyingine ili aanze upya- cha kuangalia ni mawakala kuhakikisha hiyo karatasi inachanwa basi. MKUU USIWE MUUGA WA KUSHINDWA MAANA MTASHINDWA TU
Tatizo hapa ni kuwa Tume ya Uchaguzi ilisema itapeleka kila kituo idadi ya karatasi sawa na idadi ya wapiga kura. Sasa je msimamizi atapata wapi karatasi za ziada kwa watakao kosea kupiga kura?Kura ni ile iliyopigwa na kudumbukizwa kwenye sanduku la kura baada ya hapo hakuna kiachoweza kusahihishwa wala kurudiwa.
nadhani tume imetoa nafasi kwa mpiga kura akigundua amekosea aombe karatasi nyingine ili aanze upya- cha kuangalia ni mawakala kuhakikisha hiyo karatasi inachanwa basi. MKUU USIWE MUUGA WA KUSHINDWA MAANA MTASHINDWA TU
That's the main point.Tatizo hapa ni kuwa Tume ya Uchaguzi ilisema itapeleka kila kituo idadi ya karatasi sawa na idadi ya wapiga kura. Sasa je msimamizi atapata wapi karatasi za ziada kwa watakao kosea kupiga kura?
Ugonjwa alionao mleta mada ni hatari sana! Kuona uovu katika kila jambo....tatizo la ugonjwa huu haliishii kwenye siasa hata masomo, chakula, jamii unayoishi nayo, nk!Kura ni ile iliyopigwa na kudumbukizwa kwenye sanduku la kura baada ya hapo hakuna kiachoweza kusahihishwa wala kurudiwa.