Kertel
JF-Expert Member
- May 11, 2012
- 5,425
- 5,227
Kama ni hivyo basi wangeruhusu hata ambao hawajajiandikisha kituo husika wapige kura maana kwa hili maana yake kutakua na karatasi nyingi za kutosha,wangeweka kifaa/computer ambayo itamwezesha msimamizi wa uchaguzi kituoni kuaccess data base ya NEC kuhakiki wapiga kura ambao hawakujiandikisha kituo husika.Kura ni ile iliyopigwa na kudumbukizwa kwenye sanduku la kura baada ya hapo hakuna kiachoweza kusahihishwa wala kurudiwa.
nadhani tume imetoa nafasi kwa mpiga kura akigundua amekosea aombe karatasi nyingine ili aanze upya- cha kuangalia ni mawakala kuhakikisha hiyo karatasi inachanwa basi. MKUU USIWE MUUGA WA KUSHINDWA MAANA MTASHI