Bendera yake ipoje? Ina kiti UN?Zanzibar ni Nchi usisahau hilo
Kwahiyo hata Bendera ya Zanzibar huijui.?Bendera yake ipoje? Ina kiti UN?
Zanzibar Siyo Nchi Haina Kiti UN Japo Bendera WanayoBendera yake ipoje? Ina kiti UN?
Stupid...! isee na sisi watanganyika tunataka kibao chetu peke yetu..Picha hii hapa
Kwahiyo hata Bendera ya Zanzibar huijui.?
Zanzibar ilipata Kiti UN kabla ya Tanganyika na Kimsingi ndio hiki tunachomitumia sasa kwenye Union πππ₯
Hii ndiyo unaambiwa "Kusoma hujui, hata picha huoni?"Tumeona picha ya ujumbe wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ukiwa katika kikao huko China unavibao viwili. Kimoja kimeandikwa Tanzania na zingine kina wajumbe wameweka Bangor akiwa kibao cha Zanzibar. Hizi ndio Sera ya Nchi yetu sasa, baada ya kupata Waziri Mpya wa Mambo ya Nje au ilikuwepo kabla. Na nini tafsiri yake kimataifa na ndani ya nchi
Niaminivyo mimi, wewe johnthebaptist, tukitoka kwenye mizaha, we ni moja ya vichwa hapa JF. Nashangaa, hili swali 'gumu', umetoa jibu jepesi sana!Zanzibar ni Nchi usisahau hilo
Mbona nyie hamjaweka kibao Cha Arusha au Kigoma? πMkuu, acha kutetea ujinga .... Mbona hawakuiweka hiyo bendera hapo .....!!?
Soma KatibaNiaminivyo mimi, wewe johnthebaptist, tukitoka kwenye mizaha, we ni moja ya vichwa hapa JF. Nashangaa, hili swali 'gumu', umetoa jibu jepesi sana!
Tanzania ni nini ? Na Tanganyika ipo wap sasa?Zanzibar ni Nchi usisahau hilo
Huyo chura kiziwi wenu ataiacha hii nchi vipande vipandeNathububu kusema ni stage moja, kuelekea kule waasisi walikokukemea!
-ipo haja ya ku format upya muungano, for much strength!,
-Tanganyika ipate na kumiliki ardhi zanzibar, alkadhalika zanzibar upate eneo bara!.....
Hili lita reinforce na kuustawisha umoja wetu