Wakabambee58
JF-Expert Member
- Aug 14, 2020
- 1,302
- 1,939
Rejea kesi ya uhaini znz harafu ulete majibu.Zanzibar ni Nchi usisahau hilo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rejea kesi ya uhaini znz harafu ulete majibu.Zanzibar ni Nchi usisahau hilo
Iwapo katika orodha ya mambo ya Muungano kuna Wizara ya mambo ya Nje, basi hili tunaloliona ni wazi KATIBA haina thamani tena kwa watawala hawa.Tumeona picha ya ujumbe wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ukiwa katika kikao huko China unavibao viwili. Kimoja kimeandikwa Tanzania na zingine kina wajumbe wameweka Bangor akiwa kibao cha Zanzibar. Hizi ndio Sera ya Nchi yetu sasa, baada ya kupata Waziri Mpya wa Mambo ya Nje au ilikuwepo kabla. Na nini tafsiri yake kimataifa na ndani ya nchi
Pia soma:Nchi zilizoungana ni Tanganyika na Zanzibar, kwanini Zanzibar ipo na sisi ni Tanzania bara, kwanini wasioitwe Tanzania Visiwani?
Tofautisha Nchi na Dola 😂😂🌹Rejea kesi ya uhaini znz harafu ulete majibu.
Mkanganyiko uko pale pale lila na fila hazi..... wacha tu ikae hivyo hivyo .Watakuja wengine watawasha tochi kuona mwangaTofautisha Nchi na Dola 😂😂🌹
Kwa kauli yako hii ina maana muda bado wa kuvunja muungano, na hivyo wewe ulihemkwa tu!!tunangoja samia hatoke madarakanii iwe kivyovyote vile then tunahitaji rais mtanganyika mwenye uchungu na tanganyika yake ndio tunazishe hiyo agenda ya kuvunja huo muungano....tutaona nani huwa anamtegemea mwenzake
Zanzibar ni Nchi na Taifa ila haina DolaMkanganyiko uko pale pale lila na fila hazi..... wacha tu ikae hivyo hivyo .Watakuja wengine watawasha tochi kuona mwanga
Iwe nchi Moja tu ya Tanzania, lakini hii Itawezekana siyo Kwa kuwa na katiba mpya! Ni mpaka pale tu jeshi likisitisha matumizi ya katiba ya Tanzania na Ile ya Zanzibar.Tanganyika yetu tunaitaka
Nadhani kabla hatujajadili hili swala nilazima tujiulize kwanza kama hapo awali Zanzibar ilikua na kiti cha peke yake hapo UN? Na hapa simaanishi Zanzibar ya kabla ya muungano ila ni Zanzibar ya baada ya muungano.Tumeona picha ya ujumbe wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ukiwa katika kikao huko China unavibao viwili. Kimoja kimeandikwa Tanzania na zingine kina wajumbe wameweka Bangor akiwa kibao cha Zanzibar. Hizi ndio Sera ya Nchi yetu sasa, baada ya kupata Waziri Mpya wa Mambo ya Nje au ilikuwepo kabla. Na nini tafsiri yake kimataifa na ndani ya nchi
Pia soma:Nchi zilizoungana ni Tanganyika na Zanzibar, kwanini Zanzibar ipo na sisi ni Tanzania bara, kwanini wasioitwe Tanzania Visiwani?
Duh!Tumeona picha ya ujumbe wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ukiwa katika kikao huko China unavibao viwili. Kimoja kimeandikwa Tanzania na zingine kina wajumbe wameweka Bangor akiwa kibao cha Zanzibar. Hizi ndio Sera ya Nchi yetu sasa, baada ya kupata Waziri Mpya wa Mambo ya Nje au ilikuwepo kabla. Na nini tafsiri yake kimataifa na ndani ya nchi
Pia soma:Nchi zilizoungana ni Tanganyika na Zanzibar, kwanini Zanzibar ipo na sisi ni Tanzania bara, kwanini wasioitwe Tanzania Visiwani?
Acha ujinga wewe chawa.lakini hii dar uliyopo ni zanzibar!, unadhani mwalimu alikuwa mjinga!
nchi ni 1 inaitwa JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, ina serikali mbili.......(upo sawa mkuu)Soma Katiba
Ni muungano wa Serikali 2
1. Serikali ya Jamhuri ya Muungano
2. Serikali ya Mapinduzi Zanzibar
Zanzibar ni Nchi ndio sababu Komandoo hakuwahi kuingia Baraza la Mawaziri na Nyerere alikuwepo 😂😂😂😂
Ukiwa na akili za kichama hutaelewa hili
Mkuu Yohana, sijapata msaada kutoka kwako!Soma Katiba
Ni muungano wa Serikali 2
1. Serikali ya Jamhuri ya Muungano
2. Serikali ya Mapinduzi Zanzibar
Zanzibar ni Nchi ndio sababu Komandoo hakuwahi kuingia Baraza la Mawaziri na Nyerere alikuwepo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukiwa na akili za kichama hutaelewa hili
Adui wa Tanganyika na Zanzibar huru ni CCMHalafu watanganyika walivyowapumbavu wao kibao chao wanaandika Tanzania badala ya Tanganyika.kiufupi viongozi wa Tanganyika ni majuha na majinga.safi sana Zanzibar Kwa kujitambua.ikiwezekana na umoja wa mataifa iwe hivohivo.Muungano wa kijinga kama huu ni kichaa tu ndiyo anaweza kuupenda