Hujafuatilia kwa undani sanaHapana Afya hakuna shida sana,
Hii tunapaswa kui apply kwenye siasa.
Afya Kuna mitihani ya license aniaa law school tosha kabisa 😃Habari jf ,nadhani kuna muda taifa linahitaji kuwa serious katika baadhi ya Mambo .
Hivi unawezaje ruhusu vijana ambao hawaiva vizuri wakaingia mtaani ? Law school wameonyesha mfano kwa kurudisha vijana wengi walio shindwa mtihani ,Elimu ya Chuo lazima iheshimiwe .
Sheria ina Uamuzi mkubwa katika maisha ya watu .
Afya ina maamuzi juu ya Uhai watu .
Kuna haja ya vijana hawa walio sehemu muhimu kama hizi kupikwa vilivyo na tuwapongeze law school .
BINAFSI NAIPONGEZA LAW SCHOOL KUSIMAMIA TAALUMA NI BORA TUKAWA NA WANASHERIA WACHACHE KULIKO MAELFU VIHIYO KWANZA HATUSHINDANI NA NCHI YOYOTE KUWA NA WANASHERIA WENGIHabari jf ,nadhani kuna muda taifa linahitaji kuwa serious katika baadhi ya Mambo .