DOKEZO Hili la majina yanayofanana kwenye nyaraka zote usaili wa Walimu, ni mpango wa Serikali kujipatia pesa

DOKEZO Hili la majina yanayofanana kwenye nyaraka zote usaili wa Walimu, ni mpango wa Serikali kujipatia pesa

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
A

Anonymous

Guest
KUHUSU USAILI WA WALIMU
  • Inasemekana kuwa wanatakiwa kuwa na documents zenye majina yanayofanana. Hii inamaanisha kuwa vyeti vya taaluma na vile visivyo vya taaluma vifanane majina. Yaani kama cheti Cha kuzaliwa kina majina full pasipo initial na vya taaluma view vivyo hivyo.
  • Sasa concern yangu mimi ni juu ya hizi documents, hasa cheti Cha kuzaliwa na documents nyingine hitajika. Kwani kwa kiasi kikubwa wahitimu wwengi wa kuanzia mwaka 2021 wa degree vyeti vyao vya sekondari vilikuja na initial names katikati na sio wao waliotaka iwe hivyo.
Ninavyojua mimi ni kuwa Mamlaka zinazoshughulika na documents hizi ni serekali.

Sasa napata wasiwasi kuwa Serekali imetengeneza kosa ili baadaye ije ijipatie fedha kutoka kwenye hilo kosa.

Mfano ni nani aliyemwandikisha mtoto jina lenye initial katikati? jibu litakuja ni Serikali kupitia shule za msingi. Na ni nani aliyempa cheti mwanafunzi chenye initial name katikati? jibu ni Serekali.

Sasa inakuaje hiyo Serikali kuzuia jina lenye initial katikati? na sasa, watu wanatakiwa wakaape mahakamani kwa shilingi 15k.

Mimi naona huu ni usumbufu na upigaji kwani hakuna mzazi aliyeenda kumwandikisha mtoto wake kama Mwantumu. J Bagonza. Ni Serekali iliyofanya hivyo. Hivyo nashauri Serikali iliondoe hili
 
Back
Top Bottom