Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Kwa kweli hatua za kuwapeleka mahakamani lazima zichukuliwe, otherwise Rais hatakuwa serious!Amechukua uamuzi gani baada ya kujua hilo?!?
Vinginevyo hizo ni ngonjera tu
Mkuu aliona, na bado anasubiri ripoti ya waziri........Amechukua uamuzi gani baada ya kujua hilo?!?
Vinginevyo hizo ni ngonjera tu
Na sikumbuki lini walikuwa serious, ndio maana kila mtu anafanya anavyojisikia.Kwa kweli hatua za kuwapeleka mahakamani lazima zichukuliwe, otherwise Rais hatakuwa serious!
Basi asingesema, angesubiri ripoti ya mawaziri, kisha ndio akaongea na kuwachukulia hatua.Mkuu aliona, na bado anasubiri ripoti ya waziri........
Hili nalo ni la kutazama.
Kuna kila dalili watu taarifa wanazikalia maofisini.Wenye dhamana ya kuilinda nchi ndio wanaitelekeza viwapi viapo vyenu???
Wakamateni mnawasaga vidole uone kama utasikia mtu ataiba mali ya umma
Mtanikumbuka kwa mazuriView attachment 2731210
Huu wizi wa fedha za umma unasitua sana.
Mh Rais Samia amesema wafanyakazi Halmashauri wamejijengea utaratibu wa KUIBIA serikali!
Wizi una baraka zote za TISS, POLISI na watendaji RAS, hadi Mkuu wa Mkoa.
Huu ni wizi wa kuaminiwa na tunategemea serikali kutocheka na nyani!
Tumeshaanza kula mabua!
Ushamjua Juna mwizi kamata kata vidole vyake kesho uone kama ataiba tena akiiba yeye jasiri wenye viapo wapo wanaangalia tuuuKuna kila dalili watu taarifa wanazikalia maofisini.
Vile viapo visomwe KWA mtaalam KWA akiiba mtu afaraki ulimwenguWenye dhamana ya kuilinda nchi ndio wanaitelekeza viwapi viapo vyenu???
Wakamateni mnawasaga vidole uone kama utasikia mtu ataiba mali ya umma
Badala ya kuamrisha vyombo vichukue hatua,View attachment 2731210