Hili la Mbeya, wafanyakazi kuiba mapato ya Serikali, linasitua sana

Huenda huu wizi ni nchi nzima
Serikali chukueni hatua
Hii scandal inaleta picha mbaya sana.
Kuna idara za serikali nazo zinajimilikisha mapato bila serikali kuu kuwa na habari.
Hata siujui nilielezeje suala hili, maana its as if kuna wafanyakazi serikalini wako juu ya sheria na wanakula tu hela za wananchi bila wasiwasi wowote.
 
Hivi unasikiliza porojo za ‘bi tozo’ angekuwa anataka hela ya serikali itumike sahihi au makusanyo yasichezewe angemuweka Angela Kairuki kwenye hiyo wizara.

Hadithi tu za kutaka kuonekana anakwera deep down hajali. Zaidi ya kutaka aonekane na wambea waliompa habari anafanyia kazi taarifa zao. Hila amna lolote ndio maana baada ya porojo watu wanaendelea na nafasi zao.
 
Tatizo la wizi Tanzania linaanzia juu kushuka chini
 
Tukicheza tuta kula mizizi ya mabusu hivi karibuni, kwani nyani wanaotafuna hata mabusu sasa🤸🤸🤸
 
Huo mkoa nao wapewe DPW. Maana sababu za kupewa DPW wamekidhi..!! Na mikoa majirani waliopokea mfumo huo nao wapewe DPW..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…