Hili la mbolea ya ruzuku kuna mahali tumeteleza, Bashe lazima awajibike

Miaka mingine Mbolea ya ruzuku ilikuwepo sema kiwango cha pesa kilichokuwa kinatolewa kilikuwa kidogo na utaratibu wa kugawa mbolea ulikuwa mbovu sana ulikuwa unawanufaisha sana viongozi wa vijiji

Walikuwa wanauza kiwango kidogo kwa Wakulima na kusema imekwisha na nyingine wanaenda kuiuza kw wafanyabiashara wenye maduka ya pembejeo na Wakulima wanauziwa kwa bei kubwa

Msimu wa kilimo ambao mbolea ya ruzuku aikuwepo ni wa 2020/2021/22 miaka yote ya nyuma mbolea ya ruzuku ilikuwepo ila utaratibu aukuwa kama huu
 
Mkuu mbolea ya ruzuku ilikuwepo ila kwa kiwango kiwango kidogo tena ruzuku ilikuwa kwenye mbolea na mbegu ila kwa mwaka huu ni mbolea tu

Msimu ambao ulikuwa akuna mbolea ya ruzuku ni 2020/2021/22
 
Mkuu mbolea ya ruzuku ilikuwepo ila kwa kiwango kiwango kidogo tena ruzuku ilikuwa kwenye mbolea na mbegu ila kwa mwaka huu ni mbolea tu

Msimu ambao ulikuwa akuna mbolea ya ruzuku ni 2020/2021/22
Ngoja nikuulize hili swali.

Hii mbolea ya ruzuku mwaka huu ni shilingi ngapi kwa mfuko?

Na miaka hiyo ya nyuma ilikua inauzwa shilingi ngapi?

Pia tafuta taarifa yoyote kutoka popote inayozungumza kuhusu mbolea ya ruzuku hiyo miaka ya nyuma uliyosema. Ruzuku ni jambo kubwa tena la kujivunia serikali hivyo taarifa zake bila shaka ni nyingi. Weka hapa hizo taarifa kuonyesha kulikua na mbolea za ruzuku
 
Wewe ndugu yangu ndio unatakiwa kutafuta taarifa nipo Mbeya huko si tu nimeisikia ila na mimi nilikuwa najiandikisha na ninapata tukikuwa tunapata kwa mfumo wa vocha

Kwa mala ya mwisho Dap dukani ilikuwa 70000/=ruzuku tsh50000/= ila baada ya Serikali kutokutoa ruzuku mbolea imepanda kutoka Dap 50000 mpaka 130000/150000/=

Mimi sina aja ya kufanya utafiti kwa hili wewe kama una ndugu yako Mkulima Mikoa ya Iringa,Mbeya,Ruvuma,Rukwa,Katavi nk muulize atakufahamisha kuhusu hili
 
Mbolea imepanda mwaka jana sababu ya kuondoa ruzuku? Hiki ndio umesema hapo?

Wewe huenda hujielewi aisee. Mbolea ilipanda sababu ya Vita ya Ukraine na covid na haikupanda Tanzania tu bali dunia nzima. Baada ya wakulima kulalamika mwaka jana serikali ndio ikaweka kweye bajeti ruzuku ya mbolea.

Ruzuku iliyowekwa ni Kama iliyowekwa kwenye mafuta, lengo ilikua kupunguza gharama kwa mkulima. Na hii ruzuku haitakua kila mwaka, mbolea ikishuka bei na kurudi Kama hapo awali ruzuku nayo itaondolewa
 
Wewe upo Mkoa gani? Na umeshawai kulima? Mwaka wa jana na wajuzi ndio kulikuwa akuna mbolea ya ruzuku nanimekwambia kama una ndugu yako yoyote Mikoa ya nyanda za juu kusini na ni Mkulima muulize atakwambia tulikuwa tunapata mbolea ya ruzuku kwa mtindo wa vocha baada ya kupata majibu utatambua kati ya mimi na wewe nani ajielewi

Kuhusu mbolea kupanda bei sana kwa sababu ya vita ni sahihi nampaka sasa aijashuka kama aujajiandikisha kupata mbolea ya ruzuku maduka ya kawaida wanauza mfuko mmoja wa dap tsh130000/=
 
Hivi kale ka sheria ka kutaifisha magari yanayofanya uhujumu uchumi kalishajifia? Kudeal na ngozi ngumu ni lazima ujivike uendawazimu
 
Nimekuwea na maelezo ya Wilaya ya mafinga ili ujue mbolea ya ruzuku ilikuwepo muda mrefu kasoro miaka miwili hiyo nilikwambia

Ila kwa sasa imeboreshwa sio kama zamani Mkulima anataka mifuko kumi anapewa mitatu
 
Nimekuwekea na kipande cha hotuba ya Waziri wa kilimo na uvuvi 2016/2017 ili ujue swala la ruzuku kwa sisi Wakulima sio geni pia usiwe mbishi sana kwa mambo usioyajua
 
Hivi kale ka sheria ka kutaifisha magari yanayofanya uhujumu uchumi kalishajifia? Kudeal na ngozi ngumu ni lazima ujivike uendawazimu
Wewe ni mhaya mkuu ujielewi, aijapanda , aijashuka iyo ni swaga za wazirankende ama ni matokeo ya zile shule za naniliuu
 
Wewe ni mhaya mkuu ujielewi, aijapanda , aijashuka iyo ni swaga za wazirankende ama ni matokeo ya zile shule za naniliuu
Haijalishi.

Huyo bwana (mkuu 'wa ukae') anastahili sifa kwa michango aliyoweka hapa, tena yenye ushahidi kabisa.

Jukwaa hili la JF lingekuwa na wachangiaji wa aina yake, kwa hakika lingekuwa na heshima kubwa.

Ninakupongeza mkuu 'wa ukae', kwa michango yako ya kuelimisha katika mada hii.
 
Nashukuru sana Mkuu kwa pongezi zako tatizo baadhi ya wachangiaji umu niwajuaji sana na ukiwaelekeza kidogo zinaanza lugha za kuudhi na matusi ndio maana muda mwingi tunakuwa wapenzi wasomaji
 
Kwa.mtu ambaye hajishugulishi na kilimo hawezi kuelewa ukubwa wa tatizo

Kuna jirani yangu heka 12 za mahindi zimeharibika
 
Kaka samahani shamba lako lipo wapi na heka ngapi?
Mi wilaya yangu mbolea wote tulio jisajir ni 2% wamepata nao wengi nje ya wilaya
 
Yapa wanazalisha hapahapa tz ukraine sisi haituhusu kabisa
Manake hata mafuta ni uarabunu


Kibaya zaid siis hatupeleki chochote ukraine au urusi na hata kupokea walaaaaaa

Matumizi ya ngano kwetu sio makubwa ngano tu ya ndani inatosha labda bharesa sijajua anachukua wapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…