wa ukae
JF-Expert Member
- Aug 11, 2008
- 2,720
- 2,151
Miaka mingine Mbolea ya ruzuku ilikuwepo sema kiwango cha pesa kilichokuwa kinatolewa kilikuwa kidogo na utaratibu wa kugawa mbolea ulikuwa mbovu sana ulikuwa unawanufaisha sana viongozi wa vijijiMbolea hii ya ruzuku imewekwa msimu huu kwa kuwa bei ilipanda Sana. Hiyo miaka mingine hakukua na hili la ruzuku. Sasa unaposema miaka iliyopita unamaanisha nn?
Hizi ni juhudi za mama Samia kwa mwaka huu ili kumpunguzia gharama mkulima kutokana na mbolea kuwa ghali.
Walikuwa wanauza kiwango kidogo kwa Wakulima na kusema imekwisha na nyingine wanaenda kuiuza kw wafanyabiashara wenye maduka ya pembejeo na Wakulima wanauziwa kwa bei kubwa
Msimu wa kilimo ambao mbolea ya ruzuku aikuwepo ni wa 2020/2021/22 miaka yote ya nyuma mbolea ya ruzuku ilikuwepo ila utaratibu aukuwa kama huu